Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Nina line ya biashara ya mpesa na kwa mtu yeyote atakaye hitaji kuuziwa tuwasiliane. Nikikuuzia nitakupatia line zote mbili za m-pesa na kukupa mafunzo jinsi ya kutumia m-pesa kwa atakaye hitaji.
Kutokana na kukua mtaji mimi nimenunua machine za kuuzia mpesa,luku,airtel money,tigopesa,na malipo mengineyo ambapo siihitaji hii line ya mpesa kwa sasa kwani ,achine imenirahisishia kabisaaa