Maombi ya ualimu vyuo vya serikali yafunguliwa rasmi mwisho 28.06.2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya ualimu vyuo vya serikali yafunguliwa rasmi mwisho 28.06.2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Brother James, Jun 12, 2013.

 1. Brother James

  Brother James Senior Member

  #1
  Jun 12, 2013
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii ni taarifa Kwa wale ndg zangu wooote waliokuwa wakisubiri fursa za kuomba nafasi za mafunzo ya Ualimu Kwa ngazi ya A-Stashahada (Certificate) na Shahada (Diploma) hususani katika vyuo vya Ualimu vya Serikali (34) kuwa rasmi katibu Mkuu Wizara ya Elimu anakaribisha waombaji woote waliomaliza Shule O/A Level kuanzia mwaka 2008 hadi 2013 kuomba mafunzo hayo. Zaidi fungua link hapo chini:
  United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2013
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ahsante kwa taarifa maana ushindi wa vijana wetu siyo mzuri hivyo kimbilio ni UALIMU.
   
 3. Duniaze

  Duniaze Senior Member

  #3
  Jun 12, 2013
  Joined: Feb 27, 2013
  Messages: 151
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona tayari tangazo limeshapita?Deadline 18.5.2o13.
   
 4. k

  kornelio Member

  #4
  Jun 13, 2013
  Joined: May 26, 2013
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nimeipenda hiyo bhana
   
 5. J

  Joseph Isaack JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2013
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu marekebisho.,ni ualimu ngazi ya cheti (certificate) au Grd 'A' kama inavyozoeleka na ualimu ngazi stashahada (diploma) . Shahada ni ngazi ya degree ambayo hutolewa na vyuo vikuu na siyo vyuo vya ualimu.
   
 6. Erick tryphone

  Erick tryphone JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 381
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Zifa za kujiunga ni zipi?
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Jun 13, 2013
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,675
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa olevel ni D mbili tu, na Alevel ni S moja tu.
   
 8. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2013
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,888
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  mh hivi vigezo sijui d mbili kwa grade a na s moja kwa diploma? hapana kama tumefika huko mtoto wangu nitamfundisha mwenyewe nyumbani
   
 9. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2013
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,940
  Likes Received: 699
  Trophy Points: 280
  Vigezo kwa ualimu wa shule za msingi mwisho ni div 4 ya pts 27
   
 10. I

  IKWETE JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2013
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 4,068
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Naombenikuuliza na mimi kama amemaliza form 4 2007 anaweza kupata nafasi wakuu.
   
 11. Brother James

  Brother James Senior Member

  #11
  Jun 14, 2013
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Sifa za kujiunga na Stashahada(Diploma) ni matokeo ya kidato cha sita (Minimal) E moja na S moja ktk combination yako
  Sifa za kujiunga na Cheti (Certificate-Grade A) ni matokeo ya kidato cha nne (Minimal) point 27.
  Deadline ya application ni:28.06.2013

  SIFA: uwe umemaliza kidato cha sita/nne kuanzia mwaka 2008 - 2013 tu
  Application fee: BURE
  HII NI FURSA KWENYE VYUO VYA UALIMU VYA SERIKALI TU

  NB: Usijedanganyika kuomba vyuo vya private wakisema cutt-points zao ni chini ya hizo nilizokueleza, watakuwa wanataka kukuibia tu and then wakuache solemba unalia mtaani. Vyuo vyote vya Ualimu Vya Serikali na Private cutt-points zao zinafanana isipokuwa Private college wanachukua waombaji hata walio maliza kidato cha sita kuanzia mwaka 2003.
   
 12. 4

  4cus New Member

  #12
  Jun 15, 2013
  Joined: May 3, 2013
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo four ya 28 vyuo vp vinawapokea?
   
 13. M

  MASSIVE BOOM Member

  #13
  Jun 16, 2013
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naenda kuwaambia wadogo wa-apply faster coz hii ni fursa yao coz wanasifa za kuombea
   
Loading...