Search results

  1. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Basically si kwamba naogopa kivuli cha mke wangu!! But I don feel free, for her to see some of my opinions in JF. I share most of the things with her. Lakini kwa hili, ninakuwa na restrictions kutoa some opinions. I mean, kila nitakachotaka kuandika nitakuwa najaribu kuassess implication yake...
  2. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Hapana si kweli!!. Look at this issue in a different perspective, you might understand what i mean!!
  3. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Nimetumia user name nyingine, hata ukiangalia inaonesha bado ni Junior member, but mimi ni Nguli Hapa JF wa Kuanzia Mwaka 2008. Na nisingependa niachane na Hiyo status niliyofikia.
  4. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    jamani, JF is a place where one dares to speak openly under the umbrella of anonymity, sasa mkeo akishajua, kuna chance ya mtu wa tatu kujua. Na wengine tunaweza poteza hata kazi kama ikitokea watu fulanifulani wakafahamu na kuona what we are " or have been" Posting. Na pia jamani to be sincere...
  5. H

    Msaada: Mke wangu Ameijua User name yangu ya JF

    Nimekuwa nikilog in kwenye mtandao wa JF kwenye Laptop yangu na kuchagua keep me logged in. sasa nimegundua mke wangu nae huwa anaangaliaga JF, na ameshaifahamu user name ninayoitumia hapa JF. What should i do?. Naweza nikabadilisha Hilo Jina nikim uaomba Moderator?.
  6. H

    Sitaki tena msichana bikra!!

    Asikuambie mtu kaka, niulize mimi yaliyonikuta. Lakini nashukuru Mungu mwisho nilifanikiwa!!, Inaitaji uvumilivu na hatimae kanguvu kidogo ni lazima katumike.
  7. H

    Wema sepetu:kanumba hajawahi kuniacha!

    "She is an icon". Kama vipi andika kizigua tu, inaruhusiwa
  8. H

    Nifanye nini? Mke wangu ameijua user name yangu ya JF!!

    Habari! Naomba mnishauri jamani,leo nimegundua kuwa mke wangu kaijua username ninayoitumia JF. Nifanye nini? Niendelee kuitumia au nibadilishe?
  9. H

    Najua watoto wamelala muda huu.....

    Akhsante, ndo najaza mafuta hapa. Mwenza anakausingizi kidogo!
  10. H

    Msaada: Kuhama kazi kwenye chuo kikuu cha uma

    Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  11. H

    Mwanafunzi, Baba yake wauliwa kikatili na BodaBoda Bunju "A" Shule

    Tatizo hivi sasa hii nchi haina sheria, kila mmoja anafanya vile anavyotaka. Huu utamaduni wa watu kuchukua sheria mkononi ndio msingi wa mambo yote haya na mengine kama hayo. Lakini pia ugumu wa maisha na misongo huwafanya watu wawe na chuki isiyokuwa na msingi kwa binadamu mwenzake, na...
  12. H

    Airtel Tanzania yapandisha gharama za internet!

    Jamani airtel kama habari hii ni ya kweli, basi ninawahakikishieni mauzo yenu ya vocha yatashuka tremendously!! Rudosheni hii hiduma, hata kama mtaiandisha kidogo na kufanya iwe 3500 au hata 500. Tumeizoea sana hii huduma.
  13. H

    Maoni ya watu wa Kyela na Mbeya kwa ujumla kuhusu afya ya Dr Mwakyembe

    Jamani, nimeguswa sana na hali aliyo nayo Mbunge wetu wa Kyela, Mh. Mwakyembe. Kusikitishwa huku hasa kunatokana na mazingira mazima yanayozunguka hali aliyonayo mbunge wetu huyu, ambaye zaidi ya ubunge bali ni mtanzania mzalendo ambaye siku zote ametetea si tu maslahi ya wana kyela bali maslahi...
  14. H

    Times Up! Hadji, Nyoni and Mtasiwa must go Now!

    Kwa, Ndugu wana JF na kwa yeyote anayehusika. Mimi ni kijana mchapa kazi, Mimi naijua taaluma ya udaktari vizuri kwa kuwa mimi pia ni Dr. Hakika nina kila kigezo ambacho mtu anayetakiwa kumbadili B.Nyoni anatakiwa awe navyo. Nimeona watu wakiwazungumzia watu fulanifulani, lakini nilipojipima...
  15. H

    Dhamira ya Pinda kukutana na madaktari ni nini?

    Leo asubuhi hii, nilifika pale ukumbi wa CPL muhimbili, ambapo imesemekana tunatakiwa kukutana na PM Pinda. Lakini baada ya kufika hapo ili nipate nafasi, Tumekuta watu ambao walitufukuza na kutueleza kuwa hatutakiwi hapo tuende MUHAS tukakaekae huko kwanza. Sasa najiuliza, huyu pinda anakuja...
  16. H

    2012 African Cup of Nations.

    Hakika wewe ni mkali ndugu mtazamaji, nakufuatilia kwa umakini mkubwa sana baada ya Startimes kutuduwaza na ving'amuzi vyao. Wamegoma kurusha KBC mpaka tununue bundle ya 19000
Back
Top Bottom