Search results

  1. Lukub

    Je kumwagia nje ni njia sahihi ya kuzuia ujauzito ?

    Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa taratibu kama kinyonga na unapoendelea na shughuli nahisi kabisa inaweza kusababisha ujauzito ,wataalamu...
  2. Lukub

    Je, ratiba ya raundi ya kwanza mtoani CAF champions league itabadilika

    Kule EGYPT team zilizofuzu Club bingwa ni ZAMALEK na PYRAMID japo ligi haijaisha huku umebaki mchezo mmoja ZAMALEK ana point 77 huku PYRAMID ana point 71 , AHLY point 67. Kwenye RATIBA ya club bingwa tayari AHLY alipaswa kucheza raund ya pili ya club bingwa Sasa atapaswa kwenda Shirikisho...
  3. Lukub

    Samatta hii sasa sifa

    Bwana Ally ameendelea na utaratibu wake kufunga na leo kafunga goli la kwanza Genk ikiichapa ZW 2-1
  4. Lukub

    Mashindano ya wabunge East Africa uwanja wa sheikh Amri Abedi leo 06-12-2014

    Mh.Joshua Nassari ameshinda mbio za mita 100 wanaume. Mh.Halima Mdee ameibuka kidedea mita 1500 wanawake. Mh.Esther Bulaya ameshinda mita 400 wanawake.
Back
Top Bottom