Alafu nashangaa siku hizi clouds kwenye kipnd cha sport bar hawaonyeshi kabsa habari za samattaBwana Ally ameendelea na utaratibu wake kufunga na leo kafunga goli la kwanza Genk ikiichapa ZW 2-1
Uko sahihi mkuu. Anatakiwa ajitume sana na asije akaishia kama yule mkenya - Macdonald MarigaAzidi kujituma asilewe sifa tu, bado mapema sana kwake.
Ligi ya ubelgiji ni ligi yenye utofauti kidogo na ligi zingieMmh, hivi Samatta ameingia Genk ligi yao ikiwa round ya ngapi?
Asante sana mkuu EMILigi ya ubelgiji ni ligi yenye utofauti kidogo na ligi zingie
Ili kumpata bingwa huwa wanacheza wote round ya kwanza na ya pili nyumbani na ugenini. Sasa baada ya hiyo hatua huwa wanachukua sita bora (i.e wa kwanza hadi wa sita). Alafu wanapiga pro leage, wanapiga nyumbani na ugenini timu zote.
Kila team inayoigia nusu ya point ilizopata katika hatua ya kwanza mfano team A katika hatua ya kwanza ilikuwa na point 40 basi katika hatua ya sita bora itaanza na point 20!
Kwa hiyo katika hatua hii ndo inaenda kumpata bingwa atakaekuwa na point nyingi kuliko wengine.
Sasa hivi wako kwenye sita bora na jana timu ya samata walicheza mchezo wa tatu.... timu yake hiyo iko katika nafasi ya nne kati ya hizo sita na ana point 30 akiwa nyuma ya point 38 na mtu anayeongoza ligi.Asante sana mkuu EMI
Kwa sasa hivi wapo kwenye sita bora au bado wako kwenye ile round ya timu zote?
Thanks,Sasa hivi wako kwenye sita bora na jana timu ya samata walicheza mchezo wa tatu.... timu yake hiyo iko katika nafasi ya nne kati ya hizo sita na ana point 30 akiwa nyuma ya point 38 na mtu anayeongoza ligi.
Sidhani kama anaweza kuwa miongoni mwao maana kwa hesabu za haraka timu ziko katika round ya kwanza na kila timu kufikia saa 6 leo zitakuwa zimecheza michezo 3 kila moja na zimebaki mechi 2 za round ya kwanza afu jumlisha na mechi 5 za round ya pili kwa maana hiyo kila team imebakiza mechi 7!Thanks,
Nilitaka kuona bado game ngapi ili kuona iwapo Samatta anaweza orodha ya wafungaji bora katika ligi yao
Asante sana mkuu, hebu tusubiri tuone ila naamini ana wastani mzuri wa ufungaji kwa game alizokwisha chezaSidhani kama anaweza kuwa miongoni mwao maana kwa hesabu za haraka timu ziko katika round ya kwanza na kila timu kufikia saa 6 leo zitakuwa zimecheza michezo 3 kila moja na zimebaki mechi 2 za round ya kwanza afu jumlisha na mechi 5 za round ya pili kwa maana hiyo kila team imebakiza mechi 7!
Sijajua utaratibu wa kuwapata wachezaji bora wa ligi hiyo kama huwa wanachukua ligi nzima au 6 Bora tuu!
Sawa sawa mkuu tumwombee mema tuuAsante sana mkuu, hebu tusubiri tuone ila naamini ana wastani mzuri wa ufungaji kwa game alizokwisha cheza
Kabisa, ikiwezekana tuombe timu yake iingie champion league ili tufaidi uhondo wake na auzike zaidi.Sawa sawa mkuu tumwombee mema tuu