Search results

  1. Dr criminal

    Mwanamke anayejiuliza mara mbili kuolewa na wewe usijiulize mara mbili kumpiga chini

    Back then nipo kwa bro alikuwa na huyo manzi yake beautiful, educated, ana kazi yake (kazi kapuni) and of course alikuwa na characters za wife material. Akija pale kwa bro atapika, amfulie nguo, asafishe nyumba na walivyo kuwa wana interact in general you can tell "Now this two are husband and...
  2. Dr criminal

    Rafiki angu anaenda kulia kilio cha kusaga meno

    Nilipokea jumbe leo kupitia mtandao wa kijamii wa Whatsapp kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu ukisema "Kaka navuta jiko",,, Baada ya pongezi na utani nikakumbuka kumuuliza anayemuoa akanambia "fulani".Huyo Fulani, mimi, yeye na kila mtu yale maeneo tunajua kwamba "fulani" hajatulia Kwa kuwa hata...
  3. Dr criminal

    Simuhitaji mwanamke ambaye anahisi ananivumilia

    Wakuu, Sina haja na mwanamke anayehisi ananivumilia, sihitaji kuonewa huruma na mwanamke Nataka mwanamke ambaye kama sio kunipenda mimi na leo yangu basi awe ameiona potential kwenye kesho yangu Mwanamke ambaye atahesabu amepata bingo kuwa na mimi, sio mwanamke ntaehitaji kutumia nguvu...
  4. Dr criminal

    Unaiona wapi ndoa miaka 50 ijayo

    Niajeeeeeee Naskia rangi ya majani mabichi na manjano wameanza kukusanya magaidi uko mtaaani[emoji1787],,wataenda kujibu kwa mwenyezimungu siku moja wallah![emoji120] Kuna vitu vya kuogofya sana vinasemwa au kufanywa na watu wakaidaaa sana mpaka unajiuliza "hili wazo la kishetani namna hii...
  5. Dr criminal

    Mahusiano na mtu ambaye hajipendi ni mzigo

    Hey thereee Hivi ushawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu anakuwaza wewe tu mda wote? Kila mda anataka muongee tu? Kila mda anataka ajue upo wap, na nani, kwa nini, mnafanya nini, mpaka saa ngapi? Mtu ambaye anaamini wewe ni mali yake na yeye ni mali yako, anaamini ile uwe na furaha unamuhitaji...
  6. Dr criminal

    Wanaume wengi walioshika hela ukubwani wana wenge sana la wanawake

    Out thereee wakuuu Rajabu kahali born in Chitoholi Mtwara Tanzania, anadai siku hizi wanamuita tembo, Jeshi, Teacher Konde kwenye moja ya interview yake miaka isiyopungua 6 iliyopita anakiri kwamba alikuwa anamtamani Jackline Wolper tangu yupo zake Chitoholi enzi hizo anamuangalia kwenye...
  7. Dr criminal

    Watumieni hela watoto na wadogo zenu wa kike msimu huu wa sikukuuu

    Niajeeeeeeeeeeee!! Ebhnaaaaa eeeh mmeskia ilo tofali la R.O.M.A lakuitwa #NIPENI MAUA YANGU? Aiseeee tumpe maua yake yule jamaaaaa[emoji119][emoji119][emoji119]. Sikia, wale malaya wanaojiuza ni dada na ni watoto wa watu, hao wanachuo mnaosema wepesi kulika kisa njaa ni watoto na wadogo au...
  8. Dr criminal

    Mwanamke inabidi awe msindikizaji kwenye maisha yako wewe mwanaume

    Habari Nilikuwa napitia uzi wa member mmoja hapo nimemsikitia yeye na asilimia 90 ya wanaume waliochangia kwenye huo uzi Mmesoma biblia na qur-an, mungu hakuchukua mabonge mawili ya udongo kuwaumba Adam na Hawa, mungu alimuumba kwanza Adam akaona amekaa kinyonge sana na ana upweke mwingi ndo...
  9. Dr criminal

    Dada zangu wanaume hatupendi maongezi yasiyoisha

    Habari Unaweza hisi kuongea muda mrefu na mwanaume (kuongeza muda mrefu kwa wakati mmoja) atachukulia upo romantic au you spend more of your time on him but trust me asimilia 90 ya wanaume tunaukuchukulia huu kama usumbufu Wanaume wengi waliooa wanakauli yao "Mke wangu ana kelele sana" hapo...
  10. Dr criminal

    Nimependa namna alivyoniacha

    Out there wakuuuu Nilikuwa na mpenzi wangu huyu binti mmoja swaafi, mambo yalikuwa ni moto[emoji91][emoji91][emoji91],, mpaka kama miezi miwili hapo nyuma mimi nilivoanza kuzingua Nilichozingua ni mawasiliano, nilikuwa simtafuti na yeye akinitafuta mara nyingine sms sijubu na simu sipokei mara...
  11. Dr criminal

    Kuna wanaume wana wivu mpaka unawahurumia

    Habari Kama mwanaume umeumbwa na wivu nakuhurumia sana ndugu yangu, maana hata ukiwa na mwanamke innocent bado wauni watamsumbua, sasa imagine una mwanamke kicheche Nta-share visa kazaa KISA CHA KWANZA(Ntwara, nangwanda sijaona) Ni weekend moja nipo zangu tu pembezoni kwenye kina kifupi cha...
  12. Dr criminal

    Ndoa ni nusu ya dini

    Hey there, i'm using JF Wenye imani ya dini kama yangu na wengine ambao upendelea kujifunza vitu haijailishi chanzo cha hayo maarifa natumai tutakuwa tunaifahamu hii hadithi maarufu sana "Ndoa ni nusu ya Dini". Ebu fikiria uislamu ulivyokuwa na mambo mengi swala tano, kufunga mwezi mtukufu...
  13. Dr criminal

    Kama unajitoa kwa hali na mali ili asichepuke, umridhishe au usiachwe unajidanganya sana

    Out thereee wakuu... Kama unamfanyia chochote mpenzi wako mfanyie kwasabab unampenda na sio eti asichepuke, sio eti asikuache, mda ukifika utaachwa tu, mda ukifika utachapiwa tuuuu. Maamuzi ya kuchepuka, kubaki au kuridhika na wewe ni ya mpenzi wako baada ya wewe kutimiza majukum yako...
  14. Dr criminal

    Wanawake na PhD ya “Manipulation”

    Hope you are doing good! Kama mambo sio mambo komaa ndio tayari hivo upo duniani na hakuna dawa kwa hilo. Kila mwanamke kazaliwa akiwa na PhD ya manipulation, hii ni sehem ya DNA yao wameumbwa hivo. Mwanamke anaweza kuku-manipulate kwa kupanga au automatically tu. Automatically mfano mzuri...
  15. Dr criminal

    Ni muhimu ila kwa mwanamke ni muhimu zaidi

    Habari, "But at the end one needs more courage to live than to kill himself" ~Albert Camus 1. USAFI Ni muhimu kila mmoja wetu kuwa msafi, hii ni kiafya na kukufanya wewe binafsi na wanaokuzunguka kuwa comfortable. Lakini ni muhimu zaidi mwanamke kuwa msafi, mwanamke usafi bwana. Tunaposema...
  16. Dr criminal

    Kwanini tumewaaminisha wanawake kwamba sisi tuna shida sana na mbususu

    Out thereee wakuuu Utakuta mwanamke anamwambia mumewe "Kwa huu ujinga wako ulioufanya hii wiki nzima sikupi" Na limwanaume linaanza kupiga magoti lipewe mbunye Au utaskia "Nitafutie hiyo 100k ndio nitakuja ghetto kwako" na limwanaume linatafuta Au utawaskia "Ukitaka uendelee kufaidi penzi...
  17. Dr criminal

    Mnaokuwa na mpenzi zaidi ya mmoja mnawezaje?

    Out there wakuuuu, Wakuu kama kuna kitu kimenishinda ni hii ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja. Nilijaribu zaidi ya mara moja lakini automatically tu mmoja akaomba kufanyiwa sub mwenyew, ile ku-balance uku na uku siwezi. Lazma tu mawazo yangu yatakuwa kwa mmoja alaf huyo...
  18. Dr criminal

    Maumivu ya kuchapiwa tunayakuza sana

    Out there wakuu, Wakuu kwanza nikili kuchapiwa kunauma sana, tena sanaaa, naliongea hili nikiwa nna experience na kuchapiwa. Nishawahi kuchapiwa dem bikra, yani dem nimeingia naye kwenye mahusiano ni bikra, kwahiyo nilikuwa na nafasi yakumbikiri lakini akaja muhun from nowhere akabikir mali...
  19. Dr criminal

    Aina ya wanawake waliooa kaka zangu inanifikirisha sana

    Hope mpo good wakuu. Wakuu mimi sina ndugu wa kiume wa tumbo moja, ila Kuna hao watoto wa baba mkubwa, baba mdogo, mama mkubwa, mama mdogo, shangazi, mjomba ambao mimi nawaitaga tu kaka, hayo mambo ya binam sijui mi siyaelewi. Sasa hawa jamaa wanawake waliowaoa mi ndo huwa nawaza sana kwanini...
  20. Dr criminal

    Kivyovyote vile usitelekeze mtoto

    Mama mitano tena[emoji28][emoji28] Out there wakuuuu. Mwanaume usitelekeze mtoto please! Usimwache mwanamke aangaike kulea mtoto peke ake tafadhali, usifanye hivyo, hata kama una hali ngumu, hata kama unataka kuiokoa ndoa yako, hata kama ulitaka kumnyoosha huyo mwanamke, usitekeleze mtoto...
Back
Top Bottom