Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,284
- 4,338
Out there wakuuuu
Nilikuwa na mpenzi wangu huyu binti mmoja swaafi, mambo yalikuwa ni moto[emoji91][emoji91][emoji91],, mpaka kama miezi miwili hapo nyuma mimi nilivoanza kuzingua
Nilichozingua ni mawasiliano, nilikuwa simtafuti na yeye akinitafuta mara nyingine sms sijubu na simu sipokei mara nyingine
Sababu sitaki kusema kwamba nilimchoka, ila nilijikuta tu ghafla sitaki kuanza kumuwaza mtoto wa mtu, simu za usiku sijui, mambo ya upo wapi, i wanted to be left alone
Nikahisi ili tatizo wenda ni kwasababu namwona Kila siku ikabidi nimkwepe kama wiki hivi, naona ndo kwanza namsahau, nimekaa mwezi sijaonana nae lakini ndo kwanza nakuwa na amani.
Nilikuja na majibu kwamba nisimpotezee mda mdada wa watu na nisibanie riziki wauni, ngoja tuachane mdogo mdogo kama Barnabas na dem wake gani sijui.
Njia ya kuachana nikaona nimkalie kimyaaa tu atajiongeza, bahati nzuri sijui mbaya au sijui alikuwa ananisubiri tu nijichanganye, baada ya efforts nyingi sana za kunitafuta na mimi kupotezea na yeye akaamua akae kimya, nikasema sawaaaa.
Umepita mwezi tangu nipokee sms yake ya mwisho leo binti ame-update status ya mpenzi wake ambaye sio mimi na makopa kopa yakutoshaaaaaa.
Nilichopenda,,,,,,
-Hakuna maneno
-Hakuna ugomvi
-Hakuna vijembe
-Hakuna cha ulinichezeaaa
-Hakuna cha ulinipotezea muda
Binti wa watu ka-move on maisha yanaendelea
#Usichukulie poa, ukiachwa achika.