Kama unajitoa kwa hali na mali ili asichepuke, umridhishe au usiachwe unajidanganya sana

Dr criminal

JF-Expert Member
May 16, 2022
2,278
4,270
Out thereee wakuu...


Kama unamfanyia chochote mpenzi wako mfanyie kwasabab unampenda na sio eti asichepuke, sio eti asikuache, mda ukifika utaachwa tu, mda ukifika utachapiwa tuuuu.

Maamuzi ya kuchepuka, kubaki au kuridhika na wewe ni ya mpenzi wako baada ya wewe kutimiza majukum yako, usitoke nje ya mstari.

Hutakiwi kuwa na mentality ya kwamba nikifanya hivi nikifanya vile huyu hawezi kuchepuka, hawezi kuniacha au ataradhika, ilo ni suala lake yeye akili na tamaa zake wewe ukishatimiza majukuma yako chill.

Kwa maana mifano mnayo, Kuna wanawake wenye Kila sifa walichitiwa na wanaume wenye Kila kitu walichapiwa.

Relax, easy, mapenz sio yakuyaendesha hata, mapenzi ni wewe kutimiza majukum yako afu yenyewe huwa yanajiendesha yenyewe.

Ukihisi tu unatumia nguvu sanaaaaa, kwenye mapenzi he/she is not the one, you was not made for everyone, who the hell are you to think you can make a nice couple with everyone?

Be you, be real, usitoke kwenye misingi, utu au kipato chako ili kuprove upendo wako Kwa mtu HAUTOSHINDA nakuaidi.

Don't be a hero, usitake ushujaa wa kijinga kwenye mapenzi, simply be you, ni kweli Kuna watu huwezani nao kwasababu ya mahitaji au hulka zao and it's ok, maana ni chizi pekee huwa anaelewana na Kila mtu.

Sikiliza, ukiona inakulazimu utoke nje ya misingi, maadali, utu, kipato au mda kwenye mahusiano yako na mtu fulani, huyu mtu hakufai muache aendee, kwasabab kama sio kujipoteza wewe utampoteza yeye anytime soon au vyote kwa pamoja.

Mwanamke huna sababu ya kutoa tigo ili kumridhisha mwanume eti asitoke nje, huyu mwanaume tayari ana tamaa huwezi kumzuia zaidi zaidi unapoteza utu wako tu.

Mwanaume kama unaona inakubidi ujuimize kuichumi ili mwanamke wako aendelee kutabasamu huyu mwanamke hakufai sio wako maana mwisho wa siku utapotea kiuchumi na utampoteza na yeye pia.


The real one will be there no mara wa, mtu ambaye mnaendana utamjua tu, hutumii nguvu, huna stress, hakuna majuto naturally things flow.

Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujua na ukishakijua itakubidi ukikubali ni ukweli kwamba huna uwezo wa kumridhisha binadam mwenzako, hata mwenyezi mungu sijui.


Zaidi zaidi Kila unavyozidi kujitoa kwa mtu atataka kujua ni mbali kiasi gani unaweza kwenda Kwa ajili yake, yani anakuwa na shauku ya kujua ni kwa kiasi gani utakuwa tayari kujitoa sadaka Kwa ajili yake.

Binadam tunakawaida ya kuchokonoa kupima kina cha maji, kwahiyo unapopimwa kina onyesha kina chako halisi na usione aibu au kuteteleka kuongea ukweli wako, ukiombwa hela usioimudu mchane mwambie hapana, mwanamke ukiombwa tigo sema No.
.

Hutakiwi kujitoa kwa hali na mali kumridhisha mpenzi wako, you have to take it easy, i mean just timiza majukum yako then chill, sio unajikakamua as if unadate au umeoa au kuolewa na malaika, take it easy.


Suala la kuchepuka, kuachwa au kuridhika mpenzi wako linachangiwa na vitu vingi sanaa kimojawapo ni wewe, kwahiyo wewe timiza majukum yako, hayo mengine hayakusuhusu ni yeye, akili, mihemko na tamaa zake

Alafu who told you guys that you were meant to be together forever?

Dr criminal
 
Be you mwanamke akikupenda hasumbui kwa chochote hata ukiwa Bobo the fool!

Stop using money to impress women thats weak shit.
Sure mkuu

Mwanamke kwanza akupende pili ajielewe

Mwanamke wangu lazm nimuhudumie lkn sio nivuje jasho kisa yeye

Tafuta hela for your own financial freedom
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom