Search results

  1. Blance93

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Aston villa ameshinda game 14 mfululuzo villa park,wew ni nan mpaka ujiamini umfuate Arsenal mazima
  2. Blance93

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu hawa sportbety sijawaelewa hapo wameniwekea lost kwenye game ya verona na lazio wakati nimeweka under 2.5 na mechi imeisha 1-1,Sijui ndo wameamua kunifanyia janja janja ili nisiweze ku cash out,maana mkeka umeondolewa kabisa kwenye open bet.
  3. Blance93

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    Sio lazima bei zifanane unaweza ukanunua nguo kkoo 20,000/= ila ukaenda sinza nguo hiyohiyo ukaambiwa bei yake 100,000/= bei ya kitu inaendana na location uliopo huwezi kwenda kufungua Library buza ama mbagala huko ukauza muvie kwa 1000/= ukategemea upate wateja.
  4. Blance93

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    * Kiongozi naomba ingia pm yako kuna maelekezo naomba unisaidie
  5. Blance93

    INAUZWA Kwa anayetaka kufungua biashara ya kuuzia watu filamu au nyimbo (softcopy) karibu tufanye biashara

    Kiongozi naomba ingia dm kuna suala nahitaji msaada wako.
  6. Blance93

    Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Ila ulituhaidi ungeweka ushahidi hapa mkuu.
  7. Blance93

    Inafikirisha: Miujiza ya Mchungaji Mwamposa

    Vip mkuu ushahidi ulioahidi toka may 23 mpaka leo holaa umeingia mitini au bado hujapata utulivuu.
  8. Blance93

    Chimbo la vyombo vya nyumbani Bei ya kutupa

    Duuuuh kwa hiyo kikombe cha chai pc 1=3800
  9. Blance93

    Natafuta mawakala wa movie za kutafsiri

    Vip hii project ipo au ilikufaa?!
  10. Blance93

    Niulize chochote kuhusu biashara ya duka la rejareja

    Hiyo sukari ya 300&500 unaipima vip?!
  11. Blance93

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Shukrani sana kiongozi nitayafanyia kazi haya ubarikiwe sana
  12. Blance93

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Kaka habari za kazi,kiongozi naomba kujua list ya hivo vitu kaka nimejaribu kukufwata pm kama ulivosema ila imenigomea kabisa kutuma msg dm naomba msaada wako kiongozi nitashukuru sana namba yangu 0612268124 na mwenyez mungu akubariki sana.
  13. Blance93

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Kiongoz naomba unipe uzoefu wako wa hii biashara ya nguo za watoto nahitaji sana kuifanya. Kiongozi naomba unipe uzoefu wako wa hii biashara ya nguo za watoto nahitaji sana kuifanyaa.
  14. Blance93

    INAUZWA Mashine ya kukatia miti chainsaw inauzwa

    Inachana mbao pasipo tatizo lolote ukihitaji ata video naweza kutumia ikichana mbao kukudhibitishia
  15. Blance93

    INAUZWA Mashine ya kukatia miti chainsaw inauzwa

    Chainsaw aina ya Newtop inauzwa Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana nimeamua kuiuza. Mashine ni newtop 272 spea zinapatikana bila tatizo kwan zinaingiliana na Hus272...
  16. Blance93

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Katika match 5 za mwisho madrid zote zimetoka sare kipindi cha kwanza madrid dhidi ya valladolid
Back
Top Bottom