Nina kampuni kubwa tu ya kibiashara na nimeoa mke akaja kaikuta inaendelea vizuri. Family ikawa inahudumiwa Kwa kutumia hiyo kampuni yangu aliyoikuta tayari ninayo. Tumeishi ndan ya miaka mitano. Tumeachana.
Swali lang hapa. Je hapo hapo mgawanyo Mali umekaaje? Je tutagawana 50 Kwa 50? Kama ni...
Lakin wewe si ndo unasifia Kila siku humu... Hakuna kama ccm. Madudu yote yanayofanyika humu nchini ya wizi wa Mali za uma. Huwezi tenganisha na ccm aisee
Umesikiliza hotuba ya kinana makamo mwenyekiti wenu wa kijan. Hali ya huko ikoje? Anasema Hali ni mbaya wewe unasema watu wanakuza mambo..
Mbona mnajitoa akili kiasi hicho..
Akili ukishaijengea kitu Dylan huwa inaamin hivyo. Kuna nyumba niliwahi panga. Na ikiluwa na miaka kama 8 Haina mpangaji kisa Kila mpangaji alikuwa anaingia Ina mauza uza Sana. Lakin Mimi skuwahi kuwambiea Hilo tatizo wanalodai. Nilikaa kwenye hiyo nyumba Kwa mda wa miaka miwili bila kuyaona...
Ukitaka vicheko unabinyeza ngap vile? Yaan wewe wa itilima upeipata hii taarifa ya Siri halafu Israel asijui. Hivi kumbe dini huwa zinaondolea watu akili
Kwani hii tangu uhuru si tunaongozwa na mazee tu. Amefanya Nini kama sio kuongeza umaskn na shida Kwa watanzania. Mazee si ndo yanaongoza Kwa wizi wa Mal zetu
Jadili mada au toa maoni yako. Ukitaka ujue Nina Nina. Hutaelewa. Siwezi weka mafanikio yangu kwenye mitandao ya kijamii. Humu tunapeana elimu. Burudan na konection za maisha
Mtoa mada wewe ni kijani. Samahan lakin Kwa Hilo. Wote uliyosema yanaendana na Dunia ya Sasa katika kutukomboa sisi kama taifa.? Nisaidie Kwa hili.
Je umaskni wetu kama taifa unachangiwa zaidi na uchache wa tahasusi zilizopo? Kwenye kuongeza hizi tahasusi ndo kutatufanya tuendelee kama taifa...
Naandika hivi vitatu ambavyo ni starehe zinazoleta maumivu na umaskin mkubwa Sana kwenye maisha ya wanaumme tulio wengi
Nianze na uzinzi. Mwanaumme mzinzi hutumia pesa nyingi sana kwenye huu ushenzi wa uzinzi. Hupata Hela wakat mwingine Kwa shida Sana hata kuhatarisha maisha. Lakin Hela nyingi...
Hii inaumiza Sana watoto bado ubongo wao haujakuwa kuweza kubeba vitu vikubwa kichwan mwa Mtoto wa miaka 7,8,9. Hawaelewi chochote ni mzigo Sana kwao. Watoto wengi wa shule za kidumu na mfagio unakuta hata kkk hawajui. Hayo masomo wanayajulia wapi?
Ndo kuua kwenyewe elimu yetu hivyo. Na ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.