Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,052
- 9,858
Nimekaa nao miaka mitatu tena kipindi cha fujo.let's wait and see 🐒
Naamini jeshi lao ni lenye heshima. Hakuna kitatokea kwa uasi wa jeshi.
Nimekaa nao miaka mitatu tena kipindi cha fujo.let's wait and see 🐒
Miaka ya hivi karibuni vijana wamekuwa wa hivyo sana sidhani kama ni nchi zote za Afrika, baadhi yao wamepewa madaraka wakatumia vibaya, hongera sana Senegal, kama waasisi wa Afrika wasingepambana tukapata uhuru vijana wa leo wasingeweza kudai uhuru kutoka kwa mkoloni, wengi wangepewa offer za pesa na kwenda Ulaya ili wasaliti waafrika wenzao, vijana wa sasa hivi hawawezi kukata offer hizo. Huyo kijana ni mjasiri na amedhubutu, hata wasio wa Afrika miaka 1960 wengi walioongoza mapambano ya kudai uhuru na kuwa vingozi wa mwanzoni kabisa walikuwa ni vijana. Mfano Jk Nyerere, Robert Mgabe, Nelson Mandela, Seko Ture, Milton Obote, Partrice Lumumba, Agostino Neto, Samira Macheli, Nkwame Nkurumah, wote walikuwa ni vijana, wazee walikuwa ni akina Jomo Kenyatta.Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia ccm.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapi, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.
Kwani hii tangu uhuru si tunaongozwa na mazee tu. Amefanya Nini kama sio kuongeza umaskn na shida Kwa watanzania. Mazee si ndo yanaongoza Kwa wizi wa Mal zetuSenegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia ccm.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapi, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.
Wamebadilishana wezi TU wametoka wazee Sasa ni zamu ya vijana kulaBora wamepata mabadiliko kuliko kuendelea kutawaliwa na machama ya zamani yaliyoshehena majizi.
Huo uhuru unamsaidia vipi kijana WA Leo afrika asiye na tumaini lolote zaidi ya kunufaisha familia za wapigania uhuru.Miaka ya hivi karibuni vijana wamekuwa wa hivyo sana sidhani kama ni nchi zote za Afrika, baadhi yao wamepewa madaraka wakatumia vibaya, hongera sana Senegal, kama waasisi wa Afrika wasingepambana tukapata uhuru vijana wa leo wasingeweza kudai uhuru kutoka kwa mkoloni, wengi wangepewa offer za pesa na kwenda Ulaya ili wasaliti waafrika wenzao, vijana wa sasa hivi hawawezi kukata offer hizo. Huyo kijana ni mjasiri na amedhubutu, hata wasio wa Afrika miaka 1960 wengi walioongoza mapambano ya kudai uhuru na kuwa vingozi wa mwanzoni kabisa walikuwa ni vijana. Mfano Jk Nyerere, Robert Mgabe, Nelson Mandela, Seko Ture, Milton Obote, Partrice Lumumba, Agostino Neto, Samira Macheli, Nkwame Nkurumah, wote walikuwa ni vijana, wazee walikuwa ni akina Jomo Kenyatta.
Vijana ndio hovyo kabisa mtu anataka wanawake weupe wote mjini alale nao kwa Kodi za wananchiKwani hii tangu uhuru si tunaongozwa na mazee tu. Amefanya Nini kama sio kuongeza umaskn na shida Kwa watanzania. Mazee si ndo yanaongoza Kwa wizi wa Mal zetu
Bora ya vijana nao wale nchi.Wamebadilishana wezi TU wametoka wazee Sasa ni zamu ya vijana kula
Kwa maoni yangu, Watanzania hawawezi kufanana na Wasenegali katika suala la kujitambua.Senegal wameitumia vema demokrasia ya uchaguzi na kuwapiga chini wazee wakongwe wa chama tawala na kumchagua kijana mbichi Diomaye Faye.
Diomaye Faye hana background yoyote ya kiuongozi.
Kumchagua Faye ni sawa na kumchagua Abdul Nondo wa ACT kuwa rais kwasababu tu ya kuichukia CCM.
Sasa tusubiri kuona je, Wasenegal wamebutua ama wameupiga mwingi? Vijana huwa hawaaminiki hawa. Ni wa hovyo sana.
Kumbukeni akina Makonda, Sabaya, Hapi, Mnyeti, Gambo, etc walivyowatendea watanzania enzi za giza.
Huku Dini haipoDini inaweza ikawa inawasaidia.
Wasenegal ni waislaam. Uislamu na ubabe ni kama pipa na mfuniko. Ndiyo maana hata hapa Tanzania ukiangalia misimamo ya wazanzibari (waislam tupu) wanapotaka jambo lao siyo sawa na watanganyika (ambako kuna mchanganyiko wa wakristo na waislam)Huku Dini haipo
jamaa anajiandikia tu. nimefanya kazi nao. wanatuzidi akili.Nimekaa nao miaka mitatu tena kipindi cha fujo.
Naamini jeshi lao ni lenye heshima. Hakuna kitatokea kwa uasi wa jeshi.
usifananishe waislam wa senegal na waislamu wa ukimani tz.Wasenegal ni waislaam. Uislamu na ubabe ni kama pipa na mfuniko. Ndiyo maana hata hapa Tanzania ukiangalia misimamo ya wazanzibari (waislam tupu) wanapotaka jambo lao siyo sawa na watanganyika (ambako kuna mchanganyiko wa wakristo na waislam)
Wakristo wamejengwa ktk misingi ya msamaha na kumuachia Mungu alipe kisasi. Lkn waislam ni jino kwa jino.
Ndiyo maana hata ugaidi unafanywa na waislam.