Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,891
35,901
1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu:

IMG_20240402_144436.jpg

2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo.

3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa."

4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka; mdogo mdogo watafika tu.

5. Wapalestina wakikinukisha kutaka haki yao, sisi tunalia lia tupewe katiba mpya mezani.; tunaogopa kuvunjwa miguu au kufa.

6. Kufa kitu gani kwenye kupigania haki?

7. Walikufa babu zetu wakpinga kutawaliwa, wakipigania uhuru; kwetu hao ni mashujaa.

8. Wafao wakipigania haki hufa kishujaa.
 
Sijajua kwa nini Israel haitaki Palestine liwe taifa linalojitegemea. Tangu enzi za Rais Carter miaka ya sabini jambo hili limekuwa linasukumwa na mara baada ya hapo linarudi nyuma tena. Kuna Waisrael wabaguzi ndio hulikwamisha na sioni kama hupata faida yoyote. Kuna wakati Yitzhak Rabin alikuwa amekubaliana na Oslo Accord ilikuwa waanzishe Taifa kamili la Palestine lakini wayahudi wenye roho mbaya wakamwua Rabin na kukwamisha juhudi zake zote.
 
1. Kwa hakika hayapo mafanikio bila jasho na ikibidi bila damu:

View attachment 2951723

2. Wapalestina na HAMAS wamemaanisha kwa heri na shari, kwa maneno na vitendo.

3. Leo dunia inatambua hata kwa kuwaangalia usoni tu, wana maanisha: "wanaitaka nchi yao sasa."
Nchi yao kuanzia wapi hadi wapi? Bethlehem au Nazareth ? Maana Miji yote wanayodai ni Ya Israel... Kutambua kwa nchi fulani sio kwamba wenye nchi hawapo na wamekubali... South Africa Weusi walikubali kuishi na wageni ila for Jews ni Ngumu sababu ya Uislam haupatani nao kwa Mafundisho ya Gangster Mohammad aliwaambia Jews na Waturuki ni maadui zao hadi Kiama
4. Tokea 1947, Spain hatimaye somo limeeleweka; mdogo mdogo watafika tu.

5. Wapalestina wakikinukisha kutaka haki yao, sisi tunalia lia tupewe katiba mpya mezani.; tunaogopa kuvunjwa miguu au kufa.

6. Kufa kitu gani kwenye kupigania haki?

7. Walikufa babu zetu wakpinga kutawaliwa, wakipigania uhuru; kwetu hao ni mashujaa.

8. Wafao wakipigania haki hufa kishujaa.
Haki ya nini kama hebu tuambie
 
Awali ya yote Tanzania inatambulika kuwa ni kitovu cha amani kusini mwa jangwa na Labda Duniani

Ikumbukwe huwezi kuwa na amani pasipo na haki.
 
Nchi yao kuanzia wapi hadi wapi? Bethlehem au Nazareth ? Maana Miji yote wanayodai ni Ya Israel... Kutambua kwa nchi fulani sio kwamba wenye nchi hawapo na wamekubali... South Africa Weusi walikubali kuishi na wageni ila for Jews ni Ngumu sababu ya Uislam haupatani nao kwa Mafundisho ya Gangster Mohammad aliwaambia Jews na Waturuki ni maadui zao hadi Kiama

Haki ya nini kama hebu tuambie
Wayahudi hawautaki ukiristo kwa kuwa ni upang'ang'a uliojaa kufuru,ndiyo maana wayahudi walipeleka muswada bungeni kupiga marufuku kuhubiri kinachoitwa injili/yesu,wakati huohuo waislam ni wengi Israel kuliko wafuasi wa paulo
 
1. Kwa nini hudhani ugumu ni kwa sababu ya gangster Jews walioshupaza shingo tokea 1947.

2. Miji ni ya nani si mtu kujisemea kivyake vyake (unilaterally); kwani international law kuhusu hilo hujui inasema je?

3. Hapo #2, hili uliwahi kulisikia?

IMG_20240403_054224.jpg
 
Wayahudi hawautaki ukiristo kwa kuwa ni upang'ang'a uliojaa kufuru,ndiyo maana wayahudi walipeleka muswada bungeni kupiga marufuku kuhubiri kinachoitwa injili/yesu,wakati huohuo waislam ni wengi Israel kuliko wafuasi wa paulo

Ma kina MK254 ma Kristo uchwara huamini Waisrael wote ni wakristo.
 
Nchi yao kuanzia wapi hadi wapi? Bethlehem au Nazareth ? Maana Miji yote wanayodai ni Ya Israel... Kutambua kwa nchi fulani sio kwamba wenye nchi hawapo na wamekubali... South Africa Weusi walikubali kuishi na wageni ila for Jews ni Ngumu sababu ya Uislam haupatani nao kwa Mafundisho ya Gangster Mohammad aliwaambia Jews na Waturuki ni maadui zao hadi Kiama

Haki ya nini kama hebu tuambie
Screenshot_20240401-214105~2.png

Kwa data hizi unahisi awawezi kuishi na dini gani ??
 
Mnavyoipambania hiyo palestina na israel mngepambana hivyo hivyo ktk migogoro ya hapa East Afrika mbona tungefika mbali sana.

Juhudi mnazitumia mahapa ambapo si sahihi, hayo majitu mnayoyapambania wala hayanaga time na ninyi na ndio haya haya majitu yanayoongoza kuwabagua,

mfano mzuri tu wewe mtoa post ukafanya simple research ya kupima utu kwa kujitolewa kwenda kuomba maji ya kunywa kwa hao wapalestina au hata waisrael feki then ukitoka hapo nenda Congo, rwanda& burundi then njoo na mrejesho kuwa ni wapi ulipopewa huduma nzuri yenye utu na upendo mkubwa nadhani utajua yupi ni ndugu yako ambaye ndie ulipaswa kutumia nguvu zako kumpambania na kumuonea huruma.

Acheni unafiki enyi wapumbavu wafia dini.
 
1. Upumbafu mbona ni huu wa kwako nfugu?

IMG_1567.jpg

2. Haujui kuwa tunapambania haki:

Kama tunataka Katiba Mpya, Tusiionee "Haya" Haki ya awaye yote

3. Hapo #2 Uzi rejea ni wa miaka 2 iliyopita; tukiwapigania wote wanaodhulumiwa.

4. Hapo #3 tukifanya hivyo siku zote huku mkiwa mmekodoa macho kama mijusi iliyobanwa kwenye mlango.

5. Lini tumeacha kuwapigania wenye kuonewa popote walipo wakiwamo wapalestina?

6. Umekaa busy na nyuzi za kula matunda kimasikhara, ndiyo maana chawa pro max uelewe nini wewe?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

7. Hapo #6 ninyi ni mzigo msiojitambua kutwa Simba na Yanga na kupongezana na magoli ya mama.

8. Hapo #7 utajifunza nini wapi hata kwa ukombozi wa wapi kama unadhani kukomaa na wanoonewa wakiwamo Palestina ni upuuzi?

9. Uzi huu uliwaangazia sana wapuuzi mbatata kama wewe:

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

10. Hapo #9, hujui unachosimamia; ndiyo maana hujitambui, upo upo tu kama ling'ombe tu.

11. Huyu hakuwa mwafrika, mkongomani wala m Cuba:

CheHigh.jpg

12. Hapo #11, shujaa huyu kwenye kupigania haki kapigana hadi DRC na kufia kwenye mapigano Cuba ila kazikwa kwa heshima zote.

13. Kwa mawazo yako huyo #12 ni mjinga, mwerevu eti ni wewe na bado unaona uko vizuri.

14. Niendelee kukusomea mpumbafu mbatata wewe?

15. Bure kabisa!

16. Kwa hakika mnatia hadi kinyaa!
 
View attachment 2952312
Kwa data hizi unahisi awawezi kuishi na dini gani ??
Lete data za mwaka 47 mlipoanza ukorofi... mkijadili mada za sasa mnazirudisha miaka ya nyuma ambapo mijadala ilishafungwa kwa upande wa arabs kufail kila kitu... its useless to debate muslims.

Unajua Uislam ulivyogawanyika ni zaidi ya ujuavyo na hawawezi ishi salama wao kwa wao.

Nimesahau hivi ule mpango w kuifuta Israel bado unaendelea hadi Kiama au mmeghairi?
 
1. Kwa nini hudhani ugumu ni kwa sababu ya gangster Jews walioshupaza shingo tokea 1947.
Upumbavu wane ni kukosa elimu ya mgogoro wa Arabs na Jews. Hizo sheria za UN Zilikataliwa na arabs ambazo ndio mnaziona za maana leo hii.. Arabs waliambiwa wahamie Jordan wakakataa wakataka vita Israel akasema oh kumbe mnataka kutuua wacha kipiganwe.. mkashindwa una nini la kuongea? mkaleta tena vita vita now mnadai mnaonewa.. endeleeni tu kupigana. Sheria za UN mlishazikataa hamuoni aibu?
2. Miji ni ya nani si mtu kujisemea kivyake vyake (unilaterally); kwani international law kuhusu hilo hujui inasema je?
Miji ni ya Waisrael na sio arabs. ukimaliza tuhamie Instambul pale Makao makuu ya Kiongozi wa Roma Mfalme Constantine makao makuu ya Ukristo Duniani waturuki wote waondoke

View: https://youtu.be/PmOMNBBp_64
3. Hapo #2, hili uliwahi kulisikia?

View attachment 2952347
UN lini mliikubali nyie waarabu mnaojiita wapalestina.

Hebu siki ukweli wa hili tatizo lako pengine hukufahamishwa before... Msikilize Ben Shapiro

View: https://youtu.be/dEoVzKyD_IM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom