Search results

  1. mtk eng

    Postgraduate Diploma in Logistics and Transport Management

    Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda. Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu. ....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye teacher hadi u transport officer endapo nikafanikiwa Kumaliza hiyo programme?
  2. mtk eng

    Jinsi ya kuanzisha taasisi binafsi (NGO)

    Habari za mapokezi ya bajeti mpya wana JMT, Moja kwa moja kwenye swali kama lilivyojieleza hapo juu. Jamani nataka kuanzisha NGO's sasa natamani sana nipewe elimu kwanza ya namna ya kuanzisha na nipewe ABC's nyanja gani sasa hivi iko hot, I mean changamoto gani naweza nikajikita nazo katika...
  3. mtk eng

    Mipango miji.. Chuo cha mipango Dodoma

    Ndugu wanajamhuri ya Jf nini litoto langu pale nyumbani. Nililisomesha mipango dodoma akasoma coarse ya urban planing .. sasa najiuliza ataajiliwa kama nani maaana hata sielewi naomben msaada maana naona ajira zinatoka anasema zao bado naona ananichanganya tu mwaka wa 4 huu.. maaana kashaanza...
  4. mtk eng

    Nina Milioni 7, natafuta gari ya kupigia Misele

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, ninakaribia 40yrs nmetembea kwa miguu about 30s sasa nisije nikatembea 40yrs kama wana wa Israel.
  5. mtk eng

    Wanazuoni kwema.. naomba ufafanuzi katika kozi ya Bachelor of Education (BED) geography

    Dogo kasema amechaguliwa kusoma hyo kozi sasa naitaj maelezo ya kutosha..
  6. mtk eng

    Idadi ya wafanyakazi wa umma Tanzania.

    Wana Jamhuri ya Muungano wa Jf habarini za kazi.. napenda kuwasalimu kwa salama ya kitanzania shkamoonii.. ..ndugu zangu naomba kuuliza swali.. hivi serikali ya JMT ina jumla ya wafanya kazi wangapi ? Yan waajiriwa wa serikalini yan wote vyombo vya Ulinzi na usalama nk.... Asante Wenu katika...
  7. mtk eng

    Kuhama halmashauri na kuhamia shirika la umma (SU)

    Wana JF kwema! Je, inawezekana mtumishi wa halmashauri kuhamia kwenye mashirika ya Uma yan SU..mf..vyuo vikuu au necta..tcu.. au serikali kuu.. na kama inawezekana naombeni muongozo yan procedure ili niwe aweare.
  8. mtk eng

    Naombeni ushauri wa kisheria ili niwe na amani

    Iko hivi.. kuna kiwanja nimenunua muuzaji kanionesha ramani ambayo imechorwa na surveyor wake ..madai yake kasema alienda ofisi za ardhi kujua eneo analotaka Kuuza ni kwaajil ya makazi au limetengwa kwaajili ya shughuli za serikal na akapata majibu kua eneo ni kwaajil ya makazi.. alichokifanya...
  9. mtk eng

    Nimenunua kiwanja hakijapimwa naomba ushauri wa kisheria

    Iko hivi.. kuna kiwanja nimenunua muuzaji kanionesha ramani ambayo imechorwa na surveyor wake ..madai yake kasema alienda ofisi za ardhi kujua eneo analotaka Kuuza ni kwaajil ya makazi au limetengwa kwaajili ya shughuli za serikal na akapata majibu kua eneo ni kwaajil ya makazi.. alichokifanya...
  10. mtk eng

    Naombeni ushauri kuhusu kusoma Masters

    Kwema wakuu.. Naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu nilisoma BACHELOR OF EDUCATION (BED. Geography) natamani kusoma masters sasa sijui nisomee masters ya kitu gani naombeni ushauri.
Back
Top Bottom