Jinsi ya kuanzisha taasisi binafsi (NGO)

mtk eng

Member
Oct 18, 2021
95
222
Habari za mapokezi ya bajeti mpya wana JMT,

Moja kwa moja kwenye swali kama lilivyojieleza hapo juu. Jamani nataka kuanzisha NGO's sasa natamani sana nipewe elimu kwanza ya namna ya kuanzisha na nipewe ABC's nyanja gani sasa hivi iko hot, I mean changamoto gani naweza nikajikita nazo katika taasisi.

Kiufupi kila kitu kichohusu taasisi mimi napokea. Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.

Asante.
 
NGO upepo wake sasahiv haujakaa sawa. Mana ziko nyingi mnooo na zingine zinasota kupata sponsa wa kudumu huu mwaka wa 10 sasa. Ila angaliaangalia sana na ujikite kwenye Pandemic
 
Back
Top Bottom