Kuhama halmashauri na kuhamia shirika la umma (SU)

mtk eng

Senior Member
Joined
Oct 18, 2021
Posts
103
Reaction score
239
Wana JF kwema!

Je, inawezekana mtumishi wa halmashauri kuhamia kwenye mashirika ya Uma yan SU..mf..vyuo vikuu au necta..tcu.. au serikali kuu.. na kama inawezekana naombeni muongozo yan procedure ili niwe aweare.
 
INAWEZEKANA MKUU ILA UWE NA MTU WA KUKUPATIA MCHONGO,UPATE KWANZA NAFASI YA UNAKOTAKA KUHAMIA
 
Mkuu ushachoka Kaz za Halmashauri ety
 
Inawezekana mkuu. Ntakuelekeza kesho.
Iko hivi, inawezekana kuhama toka H/shauri kwenda Taasisi tena hata kama unabadilisha kazi ili mradi unakohamia kuna nafasi inayohitaji taaluma kama yako.

Kuna namna mbili za kuomba kuhama;
1. Unaandika barua kwenye Taasisi ukiomba kuhamia kwa nafasi fulani, wakikujibu nafasi ipo na ombi lako limekubaliwa then unaandika barua kwa Katibu mkuu utumishi ukiomba kibali cha kuhamia Taasisi fulani (unaitaja) uliyoomba na kupewa nafasi. Unaambatanisha nakala ya barua ya majibu uliyopewa na Taasisi uliyopata. Then katibu mkuu atakujibu kukuruhusu kwenda.

2. Unaandika barua direct kwa Katibu mkuu Utumishi kumuomba akuhamishie kwenda Taasisi yoyote yenye nafasi ya kazi fulani (unazitaja) au Taasisi zinazohitaji mtu wa taaluma fulani. Kukiwa na nafasi Katibu mkuu atakujibu ukaripoti Taasisi fulani kwa nafasi fulani.

NB:
a. Barua zote lazima upitishe kwa wakuu wako wa kazi.
b. Kama unabadili kazi basi unakohamia utaanza na daraja la kwanza la salary ya kazi mpya unless uwe unahama na kazi yako ile ile. Kama ngazi ya salary ya unakotoka ni kubwa kuliko mpya basi utaendelea kupokea salary za zamani (kubwa).

Asante.
 
Asante kwa muongozo boss..[emoji871]
 
Mkuu naomba kuuliza,ukibadilisha kazi utaanza na salary ya daraja la kwanza hata kama unasifa za kimuundo za hiyo nafasi? Mfano muundo wa utumishi wa taasisi unayotaka kuhamia Ile uwe senior officer inahitaji uwe na relevant experience miaka 7 na masters.ukiwa nazo hizo sifa huwezi kuhamia kama senior
 
Halmashauri kumezidi mkuu
Hahaaa..halmashauri..DEC bosi wako..RC&DC mabossi zako..Mkuu wa idara bosi wako..mkuu wa kitengo bosi wako..baraza la madiwani bosi wako..hadi watu wa masijara nao wanakuvimbia wakati flani..walinzi nao kuna wakati wanakuvimbia...tabu tupu.

Majungu majungu..kuchongeana kuoneana wivu ndio kumejaa huko..ukianzisha ka mradi maneno kibao kuanzia mtaani hadi ofsini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaan mkuu yote uliyosema ni ukweli mtupu kabisa
 
Hapo bado hawajaja makatibu wakuu na mawaziri wa wizara husika..yani ni mwendo wa maelekezo..kila bosi anataka achukue point 3 muhimu kupitia mtumishi wa chini yake...kimsingi kazi za halmashauri ni pasua kichwa.

Kila mkurugenzi anaetoka tamisemi au wizara yoyote akifanya ziara kwenye halmashauri husika basi lazima apige mkwara wake
 
Hapo bado hawajaja makatibu wakuu na mawaziri wa wizara husika..yani ni mwendo wa maelekezo..kila bosi anataka achukue point 3 muhimu kupitia mtumishi wa chini yake...kimsingi kazi za halmashauri ni pasua kichwa.

#MaendeleoHayanaChama
Sisi tusikuwa na kazi ndo tunazitama I sana hizo🤣🤣
 
Give a try...inabidi uwe mvumilivu sana.

#MaendeleoHayanaChama
Ila mkuu, mbona kama naona huko kwenye mahlmashauri ndo mmeajiri watu wengi sana... Kwa mfano hawa waalimu, manesi, madaktari, sisi mabwana Shamba na mifugo, maafisa maendeleo hawa wote si wako chini ya Halmashauri zao husika Au..?
 
Mkuu naomba kuuliza,ukibadilisha kazi utaanza na salary ya daraja la kwanza hata kama unasifa za kimuundo za hiyo nafasi? Mfano muundo wa utumishi wa taasisi unayotaka kuhamia Ile uwe senior officer inahitaji uwe na relevant experience miaka 7 na masters.ukiwa nazo hizo sifa huwezi kuhamia kama senior
Kama una sifa zote na nafasi umepewa ya senior position basi utalipwa kwa scale ya hiyo position mpya.
 
Back
Top Bottom