Search results

  1. kwisha

    Kombe la club bingwa msimu huu ni la yanga

    Mashabiki wa yanga pigeni kelele na vigeregere Kombe la msimu huu ni lenu Msimu huu kuna maajabu ambayo Mashabiki wa mpira barani africa watashangaa Kifupi tu timu ambazo wengi walizoea kuona zikicheza final ya club bingwa hakuna hata moja itafika final ya club bingwa
  2. kwisha

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Kama uliona post hii mwaka jana ili lisikushangaze nilishasema toka zamani ni swala la muda tu Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/47633181/
  3. kwisha

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Mungu tu ndugu yangu atupe uzima Naamini wote tutaona kitakacho tokea uko South Africa
  4. kwisha

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    Hakuna kitu kinachekesha kwasasa Kama kuona jinsi wa afrika wanavyo muabudu Putin na urusi yake Kama Mungu Wengine wameenda mbali kwasasa wanamuita Putin baba mtakatifu [emoji23][emoji28][emoji2][emoji1787] waafrika kwa visa [emoji30] hatujambo Wakisikia kelele za Putin tu wanafikiri nilidude...
  5. kwisha

    Naingia kwenye maombi ya kumzuia Putin asiiangamize Dunia, maana amekasirika Sana!

    Lile shambulizi lilifanywa na marekani yenyewe ili kupata kigezo cha kwenda kumpiga osama
  6. kwisha

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Mungu atupe tu uzima ndugu yangu Sina maneno mengi na Kama nilivyo sema hapo juu kuwa kuna baadhi ya watu Wataona naongea kiushabiki ni Sawa ni maoni Yao Lakini Mimi na kuapia hakika haya maneno yangu yatatimia na ikitokea siku hiyo Mungu katupa uzima tutakutana Tena hapa
  7. kwisha

    Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

    Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa. Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini. Ila ukweli Mamelodi...
  8. kwisha

    Usijaribu kumsamehe mwanamke ambaye ulimfumania na mwanaume mwingine

    Kuna watu Fulani kwasababu ya kutumia akili za matakoni wanasemaga kuwa eti kumkataa mkewe kisa tu kakusaliti ni ushamba hata sisi wanaume tunachepuka kuliko wanawake My bro’s nataka niwaambie siku zote mwanaume katika kuchepuka kwake anatumia akili Mwanamke anatumia hisia Mwanaume ata...
  9. kwisha

    Huwa nawashangaa sana Waislamu na mitazamo yao kuhusu Marekani wengi ni wanafiki

    Marko 4:25 25 Kwa maana aliye na kitu ataongezewa, na asiye na kitu atanyang’anywa hata kile kidogo alicho nacho.”[emoji28][emoji23][emoji16][emoji1787]
  10. kwisha

    Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    DRC , usa , Canada , urusi, France , spain, italy, England , Germain , Rwanda , Burundi , ni nyingi
  11. kwisha

    Mwaka 2022 nilipost post hii kuhusiana na yanga watu wakanicheka hasa hasa Mashabiki wa simba

    Hakuna timu ambayo ina uwezo wa kuleta kombe la Africa Tanzania zaidi ya Yanga https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/Hakuna-timu-ambayo-ina-uwezo-wa-kuleta-kombe-la-Africa-Tanzania-zaidi-ya-Yanga.2036654/ Mwaka 2022 nilipost post nyingi Kuhusu yanga Nilisema yanga nilidude likubwa...
  12. kwisha

    Belouizdad ni timu mbovu sana, Yanga wasiwe na presha

    Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo Mechi za mikakati Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga tu ambayo walitumia kwenda kushambuliwa wachezaji wengi na kuacha wachezaji wengi wa chache nyuma...
  13. kwisha

    Yanga yatoka rasmi mashindano ya CAF, hakuna muujiza utaweza kuwasaidia

    Yanga anawagonga wote Hawa wa wili goli moja moja mda utaongea
  14. kwisha

    Wakristo wanatoa sana kwa wachungaji kuzidi kwa wahitaji, Waislamu wanatoa sana kwa wahitaji kuzidi kwa mashehe

    Fanyeni kazini Acheni kulalamika cha bure unakipata kwa Mungu peke yake tu
  15. kwisha

    Huwa natamani sana kuona muungano wa nchi za Kikristo

    Baada ya kuona umeandika kuwa urusi ina wakristo 7% nimecheka [emoji23][emoji2][emoji1787][emoji3][emoji23] Kabla sijakujibu chochote Vipi Unajua ukristo wa orthodox au
  16. kwisha

    Sio kila chozi la mwanamke lina maana kuwa anateseka na ndoa au maisha yake

    Kuna watu wanakuwa na tabia ya kuhukumu wanaume kisa tu wameona wanawake wao wanalia akili zao zinawatuma moja kwa moja kuwa wanateseka saana kwenye ndoa zao saana Ila ndugu zangu wanawake ni waongo saana. Don’t take your time kumpa haki mwanamke kisa tu analia [emoji23][emoji2][emoji1][emoji3]...
  17. kwisha

    Natafuta mfanyakazi

    Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu Kama uko tayari ni text dm Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
  18. kwisha

    Baada ya kuoa ndo nikagundua kwanini Mungu alikataza tendo la ndoa kabla ya kuoana

    Kuna vijana wanatumia madawa hao na wengine wana vitu vikubwa kinoma Akilala na mwanamke mpaka mwanamke Ana rizika na kufurahia tendo Kwa bahati mbaya ukija kuoa mwanamke Kama uyo alafu uwezo wako uwe chini zaidi ya Yule ex wake kwenye tendo la ndoa hakika utateseka...
Back
Top Bottom