Baada ya kuoa ndo nikagundua kwanini Mungu alikataza tendo la ndoa kabla ya kuoana

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Kuna vijana wanatumia madawa hao na wengine wana vitu vikubwa kinoma
Akilala na mwanamke mpaka mwanamke Ana rizika na kufurahia tendo
Kwa bahati mbaya ukija kuoa mwanamke Kama uyo alafu uwezo wako uwe chini zaidi ya Yule ex wake kwenye tendo la ndoa hakika utateseka

Acha tutafute mabikra Hawa wengine watatufanya tutumie mkongo na dawa za kuvimbisha maumbile
Wakati waliaribiwa na wengine wanakuja kusumbuwa wengine
 
Hahaha nimecheka mpaka niliokuwa nao wamenishangaa dah🤣🤣
 
Kuna vijana wanatumia madawa hao na wengine wana vitu vikubwa kinoma
Akilala na mwanamke mpaka mwanamke Ana rizika na kufurahia tendo
Kwa bahati mbaya ukija kuoa mwanamke Kama uyo alafu uwezo wako uwe chini zaidi ya Yule ex wake kwenye tendo la ndoa hakika utateseka

Acha tutafute mabikra Hawa wengine watatufanya tutumie mkongo na dawa za kuvimbisha maumbile
Wakati waliaribiwa na wengine wanakuja kusumbuwa wengine
Fanya mazoezi na usisahau kujifunza ngumi maana pisi kali zinagombaniwa hata zikiwa kwenye ndoa
 
Huyu Ni mane ,pamoja na kuwa star pale uingereza ,na ulaya kiujumla ,kawakataa Hao watumia matango ,na Kurudi nyumbani kuoa mtoto WA miaka 20 .....wewe upo busy na maRambo wakati una Mua
20240113_163722.jpg
 
Kuna vijana wanatumia madawa hao na wengine wana vitu vikubwa kinoma
Akilala na mwanamke mpaka mwanamke Ana rizika na kufurahia tendo
Kwa bahati mbaya ukija kuoa mwanamke Kama uyo alafu uwezo wako uwe chini zaidi ya Yule ex wake kwenye tendo la ndoa hakika utateseka

Acha tutafute mabikra Hawa wengine watatufanya tutumie mkongo na dawa za kuvimbisha maumbile
Wakati waliaribiwa na wengine wanakuja kusumbuwa wengine
BILA PICHA NI UZUSHI
 
Maisha ya ndoa hayana formula

Watu wengi wanasapoti kuoa mabinti wadogo (18 to early 20) ila kuishi na mabinti hawa ni changamoto, wengi huwa hawatambui nafasi yao kama wake (mke) kutokana na utoto wao.

So mtu anajikuta kama ameoa kwa ajili ya sex maana hawezi hata kupata ushauri kutoka kwa mke wake.

All in all, ndoa ni nyumba ya changamoto na kila mtu achague changamoto anayoweza kuihandle.

Pia kama mwanaume unajua ABDALA KICHWA WAZI ni mdogo(kiba100) basi bora utafute bikra maana bila hivyo utaumbuka.

ila mtu mwenye mjegeje wa maana huyo ni mkulima haswa achagui shamba la kulima
 
Achana na hayo magubegube ya mjini ,hata matango yanaingia ....

Sadio mane kaoa Bikra WA miaka 20 ,hujiulizii Ni kwanin ....umri WA mane Si unaona .....

Unafikili hakuona misambwanda ya kina Nick minaji
Mane ameoa mwanafunzi wa Miaka 18!

Back
Top Bottom