Mwaka 2022 nilipost post hii kuhusiana na yanga watu wakanicheka hasa hasa Mashabiki wa simba

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Hakuna timu ambayo ina uwezo wa kuleta kombe la Africa Tanzania zaidi ya Yanga

Mwaka 2022 nilipost post nyingi
Kuhusu yanga
Nilisema yanga nilidude likubwa ambalo bado halijajitambua
Nikasema yanga akijitambuwa basi kuna baadhi ya timu kubwa kubwa barani Africa watakuwa wanapigwa nje ndani au kupigwa vipigo vya mbwa mwizi
Baadhi ya watu wakanitukana kwenye coment
Mwaka 2023 yanga akaanza kuota mizizi sasa na tayari ameota ni swala la muda Yanga wanaweza kufika final Kama mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom