Search results

  1. M

    Katiba pendekezwa mazuri na mabaya yake kwa makundi ya vijana na wanasanaa hasa michezo na burudani

    Mimi ni mwanamichezo mwenye lengo la kuendelea katika sekta nzima ya kimichezo natakata kufanya maamuzi sahihi hapo tarehe 30 mwezi huu kwa kuichagua KATIBA HII INAYOPENDEKEZWA lakini nina uelewa mdogo wa masuala ya kikatiba hasa katika masuala yanayolenga makundi ya VIJANA na SANAA hasa katika...
  2. M

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    njoo gold crest jumapili kuanzia SAA 9 kuna semina ya kibiashara unaweza pata elimu itakayokusaidia. nicheki kwa hiz namba kwa maelezo zaidi 0759797874
  3. M

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    network marketing ni biashara ya 21st century hakuna prymid scheme wala nn. msome jamaa anaitwa Robert kiyosaki. hakuna deci hapo ni biashara kama biashara nyingne ila katika system mpya
  4. M

    Wenje na Kiwia siku zenu zinahesabika mwanza,kaeni mkao wa kujisepesha

    chadema n nzuri but wakina wenje wameshindwa kazi
  5. M

    Baadhi ya wabunge wa CCM na Upinzani wadaiwa kuhongwa na menejimenti ya TANESCO

    Ndo mana kuna wabunge hawatak posho kumbe wanakula hela zetu za umma! Kudadek kwe Tz hakuna wa kumwamin hata mmoja! Dah dah dah dah!
  6. M

    Jinsi ya kumfahamu girl anayekupenda.

    Hakuna hata m1 alyenionesha dalili hzo!
  7. M

    Tukifika kwenye mizani nitawaomba abiria msogee mbele

    Dah we mbish sana mbona mi nshazoea naona kama kawaida sa hv n kusogea na kuchuchumaa
  8. M

    Maumivu makal wakat wa kutoa shahawa! Msaada

    Asanten! Je kuna madhara yoyote ya matatizo hayo na how long it take kuwa worse problem?
  9. M

    Maumivu makal wakat wa kutoa shahawa! Msaada

    Huwa ninapata maumivu makal sana wakat wa tendo la ndoa pale ninapotoa shahawa au hata ninapopata ndoto pevu(wet dreams) pia ninapata maumivu makal sana chini ya kitovu na wakat mwngne 2mbo hujaa na kunifanya nijambe sana! Pia nakojoa mara kwa mara napia napata maumivu wakat wa kukojoa! Naomba...
  10. M

    Naomba msaada wa kidaktari!

    Katika kuangalia hasa jamii forum sijaona kipengele cha afya! Lakini kutokana na tatizo langu nikaona ni vyema kupost tatizo langu hapa ili npate msaada hata kwa muktasar tu. Tatizo langu ni kwamba nimekuwa na maumivu makal chini ya kitovu ambayo wakat mwngne huniletea maumivu wakat wa...
  11. M

    Meli Spice Islander yaibuka

    Khaa! Maajabu saba ya dunia! Teh teh teh! Makubwa
  12. M

    Bodi ya mikopo na utoja pesa za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Huku saut wanafunz wanashndia chapat, na masomo 2shaanza! Ila mgomo n marufuku!
  13. M

    Mikopo chuoni

    Jaman wanachuo kuhusu suala mikopo 2nateseka! 2lioapeal 2napewa lin majibu??
  14. M

    Tuongee asubuhi live Star TV leo

    Hataaa!
  15. M

    Hivi jaman vijana tunaipeleka wapi jamii yetu

    Inasikitisha sana pale napopita kila kona ya mtaa na kukuta vijana hutumia lugha ya matus kuwasiliana! Kwa jamii ya leo maneno kama mse**e na ku** ma** na kawaida sana sasa je nayenyewe yataingizwa na kutumiwa kama kiswahili fasaha?? Huwa inauma sana kijana unapomtukana mama yako bila sababu na...
  16. M

    Babu wa Samunge - ambao hawajapona warudie dawa

    Shame ön him! MUNGU hawapend wa2 wa haina hi jaman!
  17. M

    Kuingiziwa vidole ukeni.

    Jaman mi sina jibu lolote!
  18. M

    Bodi ya mikopo tukumbuken watoto wa wakulima.

    Bodi ya mikopo,napenda kuwapongeza kwa kaz nzur ya kuwasaidia wanafunz wa elimu ya juu kwa kuwapa mikopo ambayo kwa namna 1 ama nyingne inawasaidia wanafunz kugharamia baadh ya gharama mbalimbali. Lakin kiukwel n kwamba lengo lenu la kuwasaidia wanafunz lipo zaid kimatabaka kwan hasa tunaostahl...
Back
Top Bottom