Bodi ya mikopo tukumbuken watoto wa wakulima. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bodi ya mikopo tukumbuken watoto wa wakulima.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Meme.com, Jan 6, 2012.

 1. M

  Meme.com Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 24, 2011
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bodi ya mikopo,napenda kuwapongeza kwa kaz nzur ya kuwasaidia wanafunz wa elimu ya juu kwa kuwapa mikopo ambayo kwa namna 1 ama nyingne inawasaidia wanafunz kugharamia baadh ya gharama mbalimbali. Lakin kiukwel n kwamba lengo lenu la kuwasaidia wanafunz lipo zaid kimatabaka kwan hasa tunaostahl kupata hatupat na wasiostahl ndio wanapata! 2nahtaj mkopo il 2some jaman!
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  maisha magum jaman, kwa cc budget exhausted, ebu angalia wenzetu wamecheleweshewa tu, ila wamehaha na kufulia mpaka huruma, sisi je tusionao kabisa!
   
 3. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Peleka huu Uzi jukwaa la Elimu
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wasiostahili unawapima kwa vigezo gani mkuu?
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani kwa kuangalia uwezo wa wazazi wa mtu,kama wazazi wa mwanafunzi wanauwezo wa kumlipia mwanaye haina haja kuchukua mkopo,tatizo watu walijaza taarifa za uongo kwenye form zao,na rushwa ilitawala ndo maana watoto wa wakulima wenye kipato cha chini kabisa tukakosa mikopo na hatimaye tukabaki mitaani!
   
Loading...