Naomba msaada wa kidaktari!

Meme.com

Member
Dec 24, 2011
23
0
Katika kuangalia hasa jamii forum sijaona kipengele cha afya! Lakini kutokana na tatizo langu nikaona ni vyema kupost tatizo langu hapa ili npate msaada hata kwa muktasar tu.

Tatizo langu ni kwamba nimekuwa na maumivu makal chini ya kitovu ambayo wakat mwngne huniletea maumivu wakat wa kukojoa na huwa nakojoa mara kwa mara. Si hvyo tu bali tumbo hujaa na kunifanya nijambe sana na wakat wa tendo la ndoa huwa napata maumivu makal pale ninapo toa shahawa! Nimeenda hosptal lakin cha kushangaza hawajaniona na tatizo! Madaktar wa jamii forum naomben msaada zaid. Asanten.
 
Mkuu ulitakiwa ku-post JF Dokta ingawa kwa maelezo yako sijui mgeni ila walataam watakupa tibu!
 
Kama madaktari wa hospital hawajaona tatizo then ki-hospital huna tatizo so cha kufanya unawezekana kuwa umerogwa kwa kuwa ulitembea na mke wa mtu na huo ni uchawi wa maeneo ya pemba...nenda kamwambie uliyemchapia mkewe ili akusamehe na tiba yake ni lazma na yeye akule wewe ndogo.....upo hapo??
 
Jaribu hospitali zaidi ya moja....na iwe ina hadhi ya hospitali na si chini ya hapo!! Waweza ni PM kwa ushauri zaidi!
 
pole ndugu.nenda hospitali uulizie dr ambaye ni UROLOGIST.wao hushughulika na ishu hizo
 
Mkuu kwa maelezo yako unapata maumivu chini ya kitovu na tumbo linajaa gesi, je unavidonda vya tumbo? Au unapata kiungulia mara kwa mara na je tumbo wakati mwingine linauma juu ya kitovu? , if yes then this is PUD(vidonda vya tumbo) kama sivyo basi fanya urinalysis, urine culture na stool analysis afu tuletee majibu hapa au ni PM, abdomenal uss ulishawahi fanya na majibu yalikuwaje.
 
Back
Top Bottom