Search results

  1. F

    Wasomali na Midomo yao, haifungi!

    Wala sio wasomali peke yao hata watutsi. Kama unawajua waha wa Kigoma Manyovu (jamii ya watutsi) wako hivyo hivyo meno ya mbele makubwa.
  2. F

    Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Jaman usije ukajaribu huo upuuzi. Ukaache ndoa yako uloijenga kwa misingi na miaka kisa kijana jaman. Nakuhurumia dada
  3. F

    Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    I have a brother yuko Congo kwenye MONUSCO baada ya hilo tukio at first ilisemekana ni waganda nkawasiliana nae jana kumuuliza akasema askar walioua raia ni WaTz na nikabahatika kuona video ya tukio. Tusipende kuwalaumu ndugu zetu embu tuwaombeeni jaman
  4. F

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu: Napendekeza Serikali kutumia mifumo ya TEHAMA

    Kama ww unauwezo peleka wanao kwenye shule za mawaziri. Kuna wanafunzi wanachaguliwa kidato cha 5 wanashindwa kwenda sababu ya ada
  5. F

    Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Unacertify copy. Lakin unaenda pia na original cheti athibitishe ili anapocertify awe na uhakika kweli ni copy of the origin certificate
  6. F

    Iringa (V) Kama Hii ni Kweli Basi Kazi Ipo

    Ruaha Mbuyuni sio Iringa vijijini ni Kilolo. Mbona ofisi zimejengwa Kalenga?
  7. F

    YELLOW CARD APPLICATION

    Habari wakuu Naomba kusaidiwa elimu kuhusu hyo app tajwa hapo juu nimeona inahusishwa na mambo ya Bitcoin. Nanukuu "Hi, Yellow Card is a safe platform where you can buy or sell supported cryptocurrencies with your local currency. Here’s a link to sign up for a Yellow Card account. Yellow Card"...
  8. F

    Special Thread: Best Turkish series & movies

    Desire. Turkish series Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  9. F

    Mliopo Uwanjani tupeni matokeo ya Taifa Stars Vs DRC

    Lusajo yuko Namungo fc Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  10. F

    Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Wakuu bodi siwaelewi kabisa. Nilitarajia baada ya makato ya mwezi wa nane ningebaki nadaiwa pesa kidogo kama elfu 70. Lakin nimejaribu kuingia kwenye account yangu ya bodi nimekuta Deni limepungua kwa sh elfu 21 but salary slip inaonyesha nimekatwa kiwango cha siku zote. Sent from my Infinix...
  11. F

    Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Mi nikiangalia dashboard ya HELSB pesa imepunguzwa hata mwaka huu but deni kwenye salary slip na dashboard ya account yangu bodi liko tofauti. Salary slip bado liko deni la zaman b4 kuondolewa kwa VRF Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  12. F

    Mfahamu Anastazia Muro Mama anayekamua Lita 40 za Maziwa yake mwenyewe

    Mama aliekamua lita 40 za maziwa yake huyu hapa. Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  13. F

    Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

    Ahsante ku share mapito yako. Hakika nimejifunza kumtegemea Mungu kuna faida
  14. F

    Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Kama mnatumia simu jaribu kuweka auto rotation, no zipo zimejificha kutokana na space display ya simu
  15. F

    Upepo umegeuka, King Muswat wa Eswatini aikimbia nchi

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  16. F

    Msaada Kuhusu tiba ya Allergy

    Mi pia nasumbuliwa na allerg kama ulizozitaja. Mostly natumia vidonge vya allergy jina lake cetrizine au natumia dawa ya spray inaitwa Avamis. Pia mimi napata allergy sababu nina nyama za pua kitaalamu (nasal polyps)
Back
Top Bottom