Search results

  1. L

    Msaada wa kupata kazi, nimesomea Ualimu

    Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali. Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM. Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane...
  2. L

    Nimehitimu Shahada ya Ualimu, natafuta kazi halali

    Jamani naombeni msaada wenu mm ni binti wa miaka 24 nipo Dar es salaam nimemaliza chuo mwaka jana UDSM kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani linguistics and literature dhumuni la kuja kwenu natafuta kazi wapendwa ya aina yoyote iwe tu halali na sio haramu nitafanya pia iwe mkoa wa Dar es...
  3. L

    Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

    Wewe mwenyewe umekosea hesabu zako na hatutaki hayo mambo ya atakua wewe nani utabiri? Angalia msimamo wa ligi hayo mengine hatutaki kuyajua sahivi muda wake ukifika tutajua
  4. L

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kweli labda tutamuelewa ana maanisha nini
  5. L

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa boss
  6. L

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kwa eneo nililopo hakuna kwasababu naishi masaki kwa dada yangu na kwa mtaji nilionao na eneo ninaloishi hakuna nachoweza kufanya
  7. L

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari zenu wapendwa mimi ni binti wa miaka 23 naombeni ushauri wa kimawazo nipo Dar es salaam nina mtaji wa million 1 na laki 2. Lakini kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa nifanye nini nisaidieni jamani kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani?[emoji120] ==== Unashauriwa kusoma...
  8. L

    Msaada kuhusu biashara ya urembo

    Asante dear ni Kariakoo maeneo gani?
  9. L

    Msaada kuhusu biashara ya urembo

    Nina mtaji wangu wa laki 5 hiyo ni nje ya kodi ya Pango naomba msaada kwa wale wenyeji wa Kariakoo maduka ya jumla ya urembo kwa bei nafuu yako maeneo yapi? Pia nisaidieni machimbo ya perfume na lotion [emoji120]
  10. L

    Msaada kwa wafanyabiashara wa maduka ya nguo Kariakoo

    Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi nisaidieni. Kila nikienda naishia tu kwenye nguo za bei jamani nielekezeni tafadhari pia maduka ya urembo...
  11. L

    Msaada kuhusu App ya Alibaba

    Oooh basi hao wako vizuri hivi Aliexpress na Alibaba ni kampuni ileile?
  12. L

    Msaada kuhusu App ya Alibaba

    Ngoja niwasubiri [emoji1]
Back
Top Bottom