Nimehitimu Shahada ya Ualimu, natafuta kazi halali

Laufelix

Member
Jan 9, 2021
25
23
Jamani naombeni msaada wenu mm ni binti wa miaka 24 nipo Dar es salaam nimemaliza chuo mwaka jana UDSM kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani linguistics and literature dhumuni la kuja kwenu natafuta kazi wapendwa ya aina yoyote iwe tu halali na sio haramu nitafanya pia iwe mkoa wa Dar es salaam tusaidiane connection jamani
 
Biashara ile ya mtaji wa 1million na laki5 umeacha kufanya? Paka unaomba ajira
 
Jamani naombeni msaada wenu mm ni binti wa miaka 24 nipo Dar es salaam nimemaliza chuo mwaka jana UDSM kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani linguistics and literature dhumuni la kuja kwenu natafuta kazi wapendwa ya aina yoyote iwe tu halali na sio haramu nitafanya pia iwe mkoa wa Dar es salaam tusaidiane connection jamani
Kama unajua digital marketing kazi ipo
 
Tunatafuta mtaalam wa Digital marketing piga simu 0745009792! Nashangaa mods wakefuta uzi wangu wakati vijana wanatafuta fursa za Ajira
 
Dada naona umerlewa hapo.
Aolewe tu, ndoa nayo inakuja na mibaraka
Enzi za kuolewa kiboya zilipitwa na wakati.

Sasa hv tunasoma na kufanya Kazi/biashara na tunaingia kwenye ndoa tukasaidiane na waume zetu.

Kwa tunaojielewa.

Nadhani umeelewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom