Search results

  1. francois voltaire

    Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  2. francois voltaire

    Natafuta incubator ya mayai 30

    Habai, Poleni na kazi wapendwa, Naomba anayejua bei ya incubator au anauza incubator ndogo ya mayai 30 naomba tuwasiliane Nipo morogoro mie. Shukrani.
  3. francois voltaire

    Biashara ya vitunguu

    Habari wakuu, Mimi ni mkulima wa vitunguu ninayeishi tunduma mjini ninavitunguu majj vya kutosha kwahiyo kama kuna dalali au mfanyabiashara wa vitunguu aje tufanye biashara. Natanguliza shukrani.
  4. francois voltaire

    Naomba ufafanuzi kuhusu Rural and community development

    Salaaam Naomba kuuliza hivi ukisoma kozi ya rural au community development unaweza kuajiriwa kama nan labda BT kama nikikosa ajira najua cha kufanya so naomba tu huo msaada. Ova
  5. francois voltaire

    Uwezekano wa kubadili kozi Chuoni

    Wakuu habari zenu, Naomba kuuliza kuwa je kunauwezekano wa mtu kubadilisha kozi akiwa chuoni hasa baada ya kuchaguliwa kozi ambayo hakuipa priority..je kitu hicho kinawezekana!!!
Back
Top Bottom