Na Humphrey Shao, Msakuzi, Dar es Salaam
Ikiwa imepita mwezi mmoja tangu Watanzania waweze kumpa ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano tena hapa nchini huku mambo yakiwa ni tofauti kwa Rais Donald Trump wa Marekani ambaye wananchi awajampa ridhaa ya kuwa kiongozi kwa awamu ya pili.
Rais...
Tarehe 31 Oktoba tumeshuhudia kuitishwa kikao cha waliokosa nafasi mbalimbali za ubunge na urais ili kutangaza kufanya maandamano siku ya tarehe 2/11/2020. Tangu kuanzishwa kwa uchaguzi wa mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, vyama vya upinzani havijawahi kukubaliana na matokeo katika kila sehemu...
Na Mwandishi Wetu
Mchawi wa upinzani Tanzania ni upinzani wenyewe. Viongozi wa upinzani hawawezi kukwepa kuwajibika kwa matokeo haya na kutafuta visingizio ikiwemo uchaguzi kuhujumiwa.
Isitoshe, Katiba na Sheria zetu za Uchaguzi zinatoa fursa kwa wagombea wa vyama vilivyoshindwa kufungua kesi...
IKIWA imebaki siku moja Uchaguzi Mkuu ufanyike, Jumuiya ya wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na madereva pikipiki ‘bodaboda’ nchini, wametoa msimamo wao kuwa watampigia kura mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli.
Wamesema hatua hiyo inatokana na mgombea huyo kubeba agenda...
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mgombea urais Wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wa Chadema, Tundu Lissu.
Magufuli kiuhalisia ni mcha Mungu na amekuwa akionekana kanisani kila Jumapili pale Kanisa la Mtakatifu Petro, Oysterbay jijini Dar es Salaam na wakati mwingine popote...
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Frederick Sumaye ameeleza kusikitishwa kwake kwa Mbowe kumtelekeza Mgombea wake mara baada ya kuona Rais Dr John Pombe Magufuli anashinda kwa kishindo.
Sumaye amesema hayo leo katika Mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli mjini Babati Mkoani Manyara leo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amewashangaza Watanzania kuhoji uwezo wa Mungu katika uponyaji wa janga la corona nchini.
Kauli hiyo ya Lissu pia imeenda mbali zaidi alipowashangaa Waislamu na Wakristo kwenda kanisani...
AIRPORT YA MTWARA
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imehakikisha upanuzi wa kiwanja cha ndege Mtwara unafanyika kutoka mita 30 mpaka mita 45, Pamoja na kuurefusha kutoka km 2258 mpka km 2800. Hii inahusiana na kujenga taxway ambayo ni maungio ya runway Pamoja na apron (maegesho), runway strips...
STAND YA MABASI
SAT, chini ya uongozi wa raisi JPM imefanikiwa kujenga stand ya mabasi mkoani Katavi wilaya ya Mpanda na kuipatia jina la stand ya mabasi ya Mizengo Pinda kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Mizengo Pinda. Ujenzi wa stand hii ulianza tarehe 22/5/2015 na kumalizika...
Anaandika Mhenga wa Wahenga, Kaskazini
Kuna baadhi ya nyaya katika bongo za wenzetu CHADEMA zimelegea na tusipowaangalia vizuri nyaya hizo zitalipuka.
Chadema wameamua kuwafanya Watanzania ni maamuma wa sheria kiasi cha kufikia hatua ya kuwadanganya hata katika mambo ambayo yapo kwa mujibu wa...
KUHUSU ELIMU
SAT, imepanua wigo kwa kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari ambapo mpaka sasa imetumika Sh trilioni 1.01. Kutoka shule za msingi 16,899 hapo awali hadi 17,804 na shule za sekondari 4,708 hadi 5,330. Kumefanyika ukarabati wa shule kongwe za sekondari 77 kati ya...
Miradi iliyotekelezwa na inayotekelezwa kwa mapato ya ndani kwa mwaka wa fedha 2019/2020 katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya ni pamoja na ujenzi wa stendi ya Mbalizi kiasi cha shilingi milioni 150 zilizopelekwa na serikali ya awamu ya tano, SAT.
mradi wa ujenzi wa zahanati katika shule ya...
UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA TOKA UGANDA MPAKA TANZANIA
Rais Yoweri Museveni na Raisi JPM wamezindua ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki kutoka wilaya ya Hoima, nchini Uganda hadi bandari ya Tanga, nchiniTanzania. Bomba la mafuta lenye joto, ambao ni refu zaidi duniani, litagharimu dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.