Search results

  1. Spliffcharm

    Naomba kujua kuhusu mabalo ya mtumba ya nguo za watoto

    Wakuu JF kwema? Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni balo aina gani la nguo za watoto, na nguo za Origin ya wapi zinakua quality nzuri kuuza kwa hapa Dar es salaam. Wenye experience juu ya hili msaada tafadhali, Ahsante.
  2. Spliffcharm

    Natafuta Binti wa kuuza duka la nguo za mitumba

    Habari Ndugu. Kama heading inavyosema, natafuta binti wa range ya 18 - 25 Yrs old, Tusaidiane kwenye kuuza nguo za Mitumba za Kina Mama. Binti awe mwaminifu, Ikiwezekana mcha Mungu, awe mchangamfu kwa wateja na awe panctual na muda. Maduka yako Dar es salaam - Kijichi, Kigamboni Ungindoni na...
  3. Spliffcharm

    Naomba Kujua ukweli kuhusu Job Junction Tz?

    Wadau wa JF kwema? Hawa Jamaa wa Job Junction Tz wako genuine kweli? Mambo yao yanafanyika Ki-unproffesional sana, Kumfamnyia dogo registration wanataka 50,000Tshs? Nmeona threads za nyuma za 2020 na 2021 watu wanasema ni matapeli wengine wanabisha. Naomba kupata feedback za watu wa...
  4. Spliffcharm

    Natafuta Alphard nyeusi mbili kwa ajili ya harusi

    Habari Wana JF? Nahitaji Alphard nyeusi mbili kwa ajili ya Harusi kesho Dar es salaam, naomba mwenye connection au ambae anazo anicheck PM. Thanks.
  5. Spliffcharm

    Ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing?

    Wakuu wa JF kwema? Naomba kujua ni App gani ya simu au PC nzuri kwa kufanya video editing au hata Image editing kwa ajili ya kutangazia biashara online. Nitashukuru sana nikipata msaada juu ya hili ndugu zangu. Regards, Powers.
  6. Spliffcharm

    INAUZWA Tunauza Portable Washing Machine ya kilo 7, inafua nguo na viatu

    Habari Wana JF. Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe) Zina uwezo wa kufua, kusuuza na kukamua nguo pamoja na Viatu vya aina zote. Mashine zinamatumizi madogo sana ya umeme na unaweza kufua...
  7. Spliffcharm

    Natafuta Mayai ya Kienyeji

    Wana JF kwema? Nahitaji supplier wa Mayai ya Kienyeji pure kabisa ya jumla. Offer price ni 12,000Tshs kwa trei moja. Naweza kuchukua mpaka tray mia +. Napatikana Dar es salaam. Aliye serious anicheck Inbox tufanye biashara. Ahsante.
  8. Spliffcharm

    Natafuta mabelo ya Mitumba ya Bathrobes

    Habari wana JF na wapambanaji wenzangu. Natafuta msaada wa connection ya kupata mabalo ya mitumba yenye nguo za aina ya Bathrobes kama picha husika inavyoonekana kwenye attachment. Niko serious na nahitaji hata leo. Bei ziwe reasonable na competitive, Uelewa wa bei za soko ninao. Ahsanteni...
  9. Spliffcharm

    Natafuta Indoor shoes kama picha elekezi

    Habari Wana JF, Natafuta Indoor shoes kwa ajili ya biashara kuanzia piece 50 na kuendelea. Naomba bei ya jumla. N:B Ziwe quality nzuri au zifanane na picha zilizoambatanishwa hapa. Cont: 0745989298 whatsapp.
  10. Spliffcharm

    Je, hii ni kweli vijidudu vingi vinavyosababisha magonjwa havi-survive kwenye alkaline?

    Salaam Ndugu. Mara nyingi nmekua nikiambiwa kwamba vijidudu vingi ambavyo vinasababisha magonjwa [Pathogens] havisurvive kwenye alkaline environment. Je, hii ni kweli? Na kwanini? Ni vyakula na matunda ya aina gani yana alkaline kwa wingi? Ahsante. [emoji120]
  11. Spliffcharm

    INAUZWA Kitanda used mbao mninga 6x6 kinauzwa

    Nauza kitanda mbao aina ya mninga cha ukubwa wa 6x6. Nmekitumia kwa muda wa miaka minne sasa. Nakitoa kwa bei ya kindugu kabisa na mwingine akaanze maisha. Napatikana mtoni kijichi mbagala kuu Temeke. Bei ni 90,000Tshs maongezi yapo kidogo sana. 0673958899 Call/whatsapp.
  12. Spliffcharm

    House4Sale Nauza nyumba

    Nyumba kubwa inauzwa mbagala kuu kijichi jeshini Ina vyumba vitatu master moja,sitting room kubwa,dinning,kitchen na store Ina seventy quarter ambayo haijamaliziwa pamoja na banda kubwa la mifugo nje Parking kubwa ya magari mpaka matano Maji na umeme Square meter 2117 Bei mill70 Kwa picha za...
  13. Spliffcharm

    Naomba mwenye uzoefu na NMB Bank Oral Interview anisaidie

    Wandugu kwema? Naomba msaada wa oral interview za NMB Bank zinakua na maswali ya aina gani? Kwa mwenye experience tafadhali!
  14. Spliffcharm

    Mini washing Machine (Brand new)

    Tunauza Mashine ndogo za kufulia mpya kabisa kutoka china. Zinafua, Kusuuza na Kukausha. Brand Ni JF, Ni Imara sana na ikikusumbua ndani ya miezi mitatu tutakabadilishia mashine mpya kabisa. Tunapatikana Mtoni Kijichi/Mbagala Kuu Dar es salaam. Bei : 160,000Tshs tu. Contacts ...
  15. Spliffcharm

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Nauza mashine ndogo za kufulia. Very portable na znatumia umeme wa 220V tu. Ina uzito 4.5Kgs. Mashine ina sehemu ya kuingizia maji na kutolea maji kama picha elekezi hapo chini lakini pia kwa sababu sio kubwa sana inachukua nguo chache kwa wakati. Unaosha na kusuuza nguo. Bei yake ni laki mbili...
  16. Spliffcharm

    Mashine za kukatia nyama [BoneSaw Cutting Machine]

    Mashine za kukatia nyama aina zote mpaka samaki zinapatikana kwa bei ya 1.3M ya kitanzania. Mashine ziko Mbezi Msakuzi na zimebaki nne tu. Karibuni sana. 0682931592 whatsapp/0673958899 Call. Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  17. Spliffcharm

    Nahitaji mayai ya kienyeji kwa bei ya Jumla

    Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, kwa sasa nina soko kubwa sana la mayai ya kienyeji. changamoto ninayoface ni supply na bei ya kununulia. Nahitaji mtu wa kunisupply Kuanzia tray 20-40 kwa week kwa bei isiyozidi 11,000 specifically watu wa mikoani kwa maana huko ndo kuna kienyeji halisi. Namba...
Back
Top Bottom