Nahitaji mayai ya kienyeji kwa bei ya Jumla

Nahitaji mayai ya kienyeji kwa bei ya Jumla

Spliffcharm

Senior Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
161
Reaction score
426
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, kwa sasa nina soko kubwa sana la mayai ya kienyeji. changamoto ninayoface ni supply na bei ya kununulia.

Nahitaji mtu wa kunisupply Kuanzia tray 20-40 kwa week kwa bei isiyozidi 11,000 specifically watu wa mikoani kwa maana huko ndo kuna kienyeji halisi.

Namba zangu 0673958899 au 0682931592 whatsapp.

IMG_20200703_111250_580.jpg
 
Natafuta source za mayai ya kienyeji kwa wafugaji nanunua elfu 10 kwa tray nipigie au whatsapp 0676169893.

Nipo Mbagala kuu kijichi.


IMG_20210926_120534_089.jpg

​
 
Wafugaji wa kuku kienyeji Dsm,Nahitaji more sources ya kupata mayai
Nanunua elf 10 kwa tray
Nipigie au whatsapp 0676169893
Nipo mbagala kuu kijichi.
IMG_20210926_120534_089.jpg
 
10,000 iko chini sana

Mimi ni mfugaji wa Kuroiler (Chotara), bei ya kuuza mayai ni 12,000. Pia yana kua na kiini cha njano
 
Bei yako ipo chini mkuu maana ya chotara tu ni 12
Boss wangu nimesema hivyo kwakuwa najua wapo wanaouza hio bei na nachukua kwao shida yangu ni kuongeza sources tu maana huitaji ni mkubwa zaidi ya ninavyo pata.
 
Kama utalipa 12000 kwa tray naweza kusupply kwako trei 20 kwa week.
Yapo ya kienyeji pure na chotara pia kama utataka.
Nicheki pm
 
Kama bdo waweza nichek pm ntakufanyia 11500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom