Naomba mwenye uzoefu na NMB Bank Oral Interview anisaidie

Spliffcharm

Senior Member
Jun 21, 2020
124
344
Wandugu kwema?

Naomba msaada wa oral interview za NMB Bank zinakua na maswali ya aina gani?

Kwa mwenye experience tafadhali!
 
Nafasi gani mkuu?

Uliza swali likamilike. Inawezekana mtu akawa Hana experience ya NMB, lakini Ana experience ya position husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom