INAUZWA Tunauza Portable Washing Machine ya kilo 7, inafua nguo na viatu

Spliffcharm

Senior Member
Jun 21, 2020
124
344
Habari Wana JF.

Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe)

Zina uwezo wa kufua, kusuuza na kukamua nguo pamoja na Viatu vya aina zote. Mashine zinamatumizi madogo sana ya umeme na unaweza kufua zaidi ya mara 5 kwa siku moja (Multiple times).

Bei ya Mashine ni 320,000Tshs tu.

Tupo Kigamboni na Kijichi lakini pia tunatoa huduma ya delivery kwa gharama za mteja.

Karibuni sana.
0676169893 Whatsapp/Normal Call.
View attachment 2712615View attachment 2712616View attachment 2712614
 
Habari Wana JF.

Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe)

Zina uwezo wa kufua, kusuuza na kukamua nguo pamoja na Viatu vya aina zote. Mashine zinamatumizi madogo sana ya umeme na unaweza kufua zaidi ya mara 5 kwa siku moja (Multiple times).

Bei ya Mashine ni 320,000Tshs tu.

Tupo Kigamboni na Kijichi lakini pia tunatoa huduma ya delivery kwa gharama za mteja.

Karibuni sana.
0676169893 Whatsapp/Normal Call.

Marketing inahitaji shule. Tangazo lako Lina kosa vitu vya msingi kumuwezesha the would be customer kufanya maamuzi;
1. Not mentioned whether the machine is new or used/ refurbished
2. Not mentioned whether the product has warranty or not
3. No pictures displaying the machine on sale.
Lack of those information, leads to one suspecting that kuna kitu hakipo sawa
 
Mbona mashine zenyewe zimechoka sana?
 
Marketing inahitaji shule. Tangazo lako Lina kosa vitu vya msingi kumuwezesha the would be customer kufanya maamuzi;
1. Not mentioned whether the machine is new or used/ refurbished
2. Not mentioned whether the product has warranty or not
3. No pictures displaying the machine on sale.
Lack of those information, leads to one suspecting that kuna kitu hakipo sawa
Kwa upande wa picha labda ameogopa tunaweza kuzidownload kama nyimbo tukampunguzia faida.
 
Zije tuwapumzishe wadada wanachoka sana.
Hawa wake zetu hata boksa zao hawawezi fua wataharibu makucha Yao ya kishetani
 
Marketing inahitaji shule. Tangazo lako Lina kosa vitu vya msingi kumuwezesha the would be customer kufanya maamuzi;
1. Not mentioned whether the machine is new or used/ refurbished
2. Not mentioned whether the product has warranty or not
3. No pictures displaying the machine on sale.
Lack of those information, leads to one suspecting that kuna kitu hakipo sawa

Nashukuru kwa ushauri mkuu.
I am not an expert in that field ila niko teyari kujifunza.

Mashine zetu ni mpya kabisa [Brand new].
Na pia tunatoa warranty ya miezi 6.

Picha niliupload sema nadhani mambo ya network tu.

Karibuni sana View attachment 2708334
IMG_20230803_155938_487.jpg
View attachment 2708335
 
Habari Wana JF.

Wakuu nimeleta mashine za kilo 7 za kufulia, aina ni Dnyker, high quality brand kutoka China ikifanya mauzo vizuri sana bara la Ulaya (Europe)

Zina uwezo wa kufua, kusuuza na kukamua nguo pamoja na Viatu vya aina zote. Mashine zinamatumizi madogo sana ya umeme na unaweza kufua zaidi ya mara 5 kwa siku moja (Multiple times).

Bei ya Mashine ni 320,000Tshs tu.

Tupo Kigamboni na Kijichi lakini pia tunatoa huduma ya delivery kwa gharama za mteja.

Karibuni sana.
0676169893 Whatsapp/Normal Call.
Bila picha!!
 
Mashine ya Kuuza 150k ww unauza 300k huu ni wizi
Nionyeshe mahali wanauza mashine ya Kilo 7 yenye ukubwa size ya Jaba la maji, Inayofua Viatu na Nguo kwa bei ya laki na nusu. Nakuahidi kununua mashine zote hata zikiwa bei kama yangu ntanunua pia.

Mnapenda sana kuharibu jasho la watu bila kua na knowledge yoyote.

Utoto mwingi sana JF siku hizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom