Search results

  1. Pics

    Nchi nyingi za Afrika zikisifika uchumi nzuri zinaporomoka haraka

    Mataifa ya AFRIKA mara yakisifiwa kupamda maendeleo kiichumi yanaporomoka baada ya muda mfupi.mfano Ghana, Kenya, Msumbiji na Sasa kuna dalili Tanzania inaelekea huko. Hii SI bahati mbaya. Nchi za Ulaya zinafanya kila juhudi kuzikopesha fedha ambazo wanajua zinaishia mifukoni mwa watawala na...
  2. Pics

    Mshahara anaolipwa Chama haulingani na kazi

    Ukweli mshahara wa milioni 14 ni mdogo sana ukilinganisha na mchango na umuhimu kwenye klabu. Ikumbukukwe alirejeshwa kwa Mkopo na kuisadia wakati Ina struggle. Alipaswa kulipwa mshahara mkubwa Kama wenzake akina Azizi ki, 23m Morrison 18m, Amada wa Azam na hawana mchango kwenye klabu zao kama...
  3. Pics

    SoC03 Turudi tulipotoka tuwajibike vyema

    Mimi ni mwanazuoni kutoka chuo Fulani, niko na maendeleo mazuri sana kielimu, ninaona nuru kila siku. Lakini haya yote yametokana na jitihada kubwa za wazazi wangu na malezi bora kutoka kwa walimu na walezi wangu tangu shule ya msingi. Nilipelekwa shule za bweni tangu nikiwa mdogo, kwani...
  4. Pics

    Minada ya Tanesco wizi mtupu

    Nimebahatika kushuhudia minada ya vifaa chakavu vya TANESCO. Masasi na Tunduru ambayo pia imefanyika Lindi. Na inaendelea Songea, Njombe nk. Kiuhalisia hakuna mnada Ni wizi, kinachofanyika washiriki wa mnada wanakutana na kukubaliana Nani anunue kwa makubaliano. Siku moja kabla wanathathimini...
  5. Pics

    Wabunge wa Tunduru washikana mashati

    WABUNGE wa wilaya Tunduru ,Jimbo la kusini na Jimbo la kaskazini walitupiana makonde kwenye kamati ya siasa. ilibidi mkuu wa wilaya Mh Mutatiro kuwatenganisha na katibu kutoa nje. Tukio Ni matokeo ya kugombea maksi za juu kwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wilaya. Mbunge wa kaskazini...
  6. Pics

    #COVID19 Je, chanjo ya Covid 19 ni lazima?

    Kuna sitofahamu inaendelea wilaya ya Tunduru-Ruvuma. Akina mama wakiwapeleka watoto kliniki wanazuiwa kupewa kadi za kliniki mpaka wachanjwe wanapata usumbufu kupata huduma za msingi. Hapa Tunduru hatuna rekodi ya yoyote vifo vya korona toka ilipotokea huko Uchina Wuhan. Wanajamiiforums chanjo...
Back
Top Bottom