Search results

  1. Numero Uno

    Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

    Sasa bro wewe na ako kamwili kako ukikutana na mtu kama uyo ambae ameshaua na kujerui hana chakupoteza wala chakuhofia si ndio itakua mwisho wako Huyo muuaji alikuwa ni mviziaji sio kwamba anazunguka mtaani na kisu na hata watu aliokuwa anawajeruhi ni wanawake na watoto, alafu raia walishaanza...
  2. Numero Uno

    Kuna watu wanadharau watu wa Arusha kwa kumuogopa huyo mtoto Ally Dangote

    Shukuru mungu ulifanikisha salama, ulitembea maeneo gani labda?
  3. Numero Uno

    Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

    Wakuu imekaaje hii ya makarani wa sensa kuchukuliwa clip ya maigizo wakati wa kuhesabu. Yaani karani anaenda kwa mtu maarufu then akimaliza kazi yake wanaanza kuchukua video ya kuchekesha, huo sio upotevu wa muda kweli?
  4. Numero Uno

    Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
  5. Numero Uno

    Haijawi tokea pair bora ya viungo kama hawa

    Xavi,Iniesta,Busquets
  6. Numero Uno

    Mafundi umeme mnisaidie kuhusu hiki kitu

    Uongo. Wewe ni fundi umeme kweli, separate meter kazi yake ni kuhesabu matumizi ya mtu tu haina uwezo mwingine wowote
  7. Numero Uno

    Timu ya Taifa Ghana, mchezaji Okrah kacheza mechi gani?

    Tanzania bana nchi yakijinga ina watu wajinga haina ata wachezaji zaidi ya 10 wanaocheza nje ya tanzania Ghana ina wachezaji zaidi ya 700 wanacheza nje ya kwao
  8. Numero Uno

    Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

    Umeongea utumbo alafu wewe ni member wa 2008
  9. Numero Uno

    Simba haikustahili hata hiyo nafasi ya pili, mwakani itaisindikiza tena Yanga kama mwaka huu

    Na huko caf champions league mama ako na baba ako ndio alitubeba? Unagongwa huogi
  10. Numero Uno

    Simba haikustahili hata hiyo nafasi ya pili, mwakani itaisindikiza tena Yanga kama mwaka huu

    Wewe malayapori hiyi nafasi ya pili ulutaka akae baba aki au mama ako? Angalia gape na points na goal differance Tumekosa ubingwa lakini tumefika robo fainali confederation cup Tumebeba ubingwa miaka minne na tumeweza kufika robo fainali mara mbili, nyie mmechukua ubingwa na mmeishia peliminary...
  11. Numero Uno

    Kipa Diarra wa yanga apewe heshima yake ni habari nyingine

    Zile mechi na Rivers United zilikuwa ndondo
  12. Numero Uno

    Kwanini Watanzania hawatumii aina hii ya matofari?

    Humu kuna watu wente utaalamu tofaut tofaut sasa unaposema jambo usidhani watu hawana utaalam wa hilo jambo mkuu
  13. Numero Uno

    News Alert: FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

    Team zikifuzu world cup zinashangila na hazina ata uwezo wakuvuka group stage kwanini sisi tusishangilie kucheza na mafinalist nakupata matokeo Mnauliza tupo wapi bado tupo kimataifa , na nyie mpo fanyeni icho mnachoona ni uboya
  14. Numero Uno

    News Alert: FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

    Utopolo akili zenu zipo matakoni mwaka jana mlikuwa Kaizer chiefs mwaka huu mpo Orlando Pirates
  15. Numero Uno

    News Alert: FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

    Finalist wa champions league mwaka jana wote walifungwa na Simba Finalist wa confederation mwaka huu wote wamefungwa na Simba
Back
Top Bottom