Search results

  1. Kisu Cha Ngariba

    Kisu cha Ngariba nimerudi tena

    Habari za jioni JF? Nilipotea kwa zaidi ya miezi 6 kwasababu ya zilizopo nje ya uwezo wangu lakini sababu kubwa ni kukosa uwezo wa kulog in kwenye account yangu. Naamini mtanipokea tena katika majukwaa yote, kwa bahati mbaya lile jukwaa letu pendwa wameliondoa[emoji35]. Tujumuike kusogeza...
  2. Kisu Cha Ngariba

    Millard Ayo kawa mmoja kati ya watanzania waliopata nafasi ya kusoma course ya IVLP

    Millard Ayo anaweza kuwa mtanzania wa pili baada ya Mwl Nyerere kwenda Marekani kwenye course ya International Visitor Leadership Program mwaka 1960. Course hii inatolewa kwa International leaders kwenda Marekani kujifunza kuhusu uchumi, siasa, jamii na tamaduni za Marekani. Course hii...
  3. Kisu Cha Ngariba

    Miezi 18 kabla ya uchaguzi mkuu, Magufuli kaamua kwenda Mbeya

    Limekua jambo la kushangaza kidogo Jiwe kwenda Mbeya miaka minne baada ya uchaguzi. Ziara hii inaleta maswali mengi kuliko majibu Je huu ni mwanzo wa kampeni za uchaguzi unaokuja? Je, zile zomea za kampeni zilimfedhehesha na kuamua kuwatupa? Vipi kuhusu mikoa mingine ya kanda za juu kusini...
  4. Kisu Cha Ngariba

    Tetesi: John D Pallangyo kupita bila ya kupingwa kwenye jimbo la Arumeru Mashariki.

    Habari kutoka ndani ya Ccm ni wanataka kumpitisha John D Pallangyo kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki. John D Pallangyo aligombea mwaka 2015 lakini alishindwa kufurukuta mbele ya kijana mdogo Joshua Nassari ambae kauza ubunge wake kwa pesa za Ccm. Nafasi ya John D Pallangyo kushinda ni kubwa...
  5. Kisu Cha Ngariba

    Jiwe akitumia VAR.

  6. Kisu Cha Ngariba

    Tanzania yaondoa zuio la kuingiza mitumba kutoka Marekani

    The U.S. Embassy is pleased to announce President Trump’s decision to continue Tanzania’s African Growth and Opportunity Act (AGOA) duty free import benefits as a result of steps Tanzania has taken toward eliminating prohibitive tariff rates on imports of used clothing and footwear and...
  7. Kisu Cha Ngariba

    Je, Rais Magufuli amewahi kukemea mauaji ya Kibiti?

    Naomba kukumbushwa kama Rais JPM amewai kukemea mauaji ya Kibiti au kufungua mdomo kuongelea mauaji ya Kibiti. Naomba kukumbushwa kama Rais Magufuli alihudhuria mazishi au kuaga miili ya wale ASKARI waliouliwa KIKATILI kule Kibiti. Kama hakufanya yote kati ya hayo hapo juu, iweje leo anapata...
  8. Kisu Cha Ngariba

    Nyuma ya pazia shambulio la Lissu, familia yaeleza siri nzito maisha ya wanae siku 90 bila baba, mama nyumbani

    FAMILIA ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, imesema kuwa watoto wake wanapitia wakati mgumu kwa kuwa tukio la kupigwa risasi kwa baba yao liliwaumiza kisaikolojia. Aidha, watoto hao kwa sasa wanalazimika kuishi mbali na wazazi baada ya wazazi wote wawili kuwa nje ya nchi tangu...
  9. Kisu Cha Ngariba

    Taarifa ya kuahirisha mnada wa madini ya Tanzanite

    Serikali ilitangaza kwamba mnamo tarehe 15 oktoba kutakuwa na mnada wa tanzanite katika mji mdogo wa Mererani, Simanjiro Mkoani Manyara MERERANI, MANYARA: Wizara ya Madini kufanya mnada wa Tanzanite Oktoba 15, 2017 Leo serikali kupitia wizara ya Madini imetoa taarifa ya kuhairisha manada huo...
  10. Kisu Cha Ngariba

    Bombardier yatua nchini.

  11. Kisu Cha Ngariba

    Je, mauaji ya Kibiti yalipangwa?

    Yawezekana mauaji ya Kibiti yalikuwa na lengo la kutengeneza predetermined narrative ya matukio yajayo? Hii ni baada ya watu fulani kutumia tukio la Kibiti kukataa uchunguzi huru wa shambulio dhidi ya Tundu Lissu.
  12. Kisu Cha Ngariba

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Dar: Ofisi ya Wakili wa Manji, Hudson Ndusyepo yavamiwa na watu wasiojulikana watoweka na kabati la kutunzia nyaraka na fedha. Watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wamevamia na kufanya uharibifu katika Ofisi za Wanasheria wa Prime Attorneys KIASI cha shilingi milioni tatu na laki saba...
  13. Kisu Cha Ngariba

    Waziri Mkuu akipokea viwanda

  14. Kisu Cha Ngariba

    RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

    RC mkoa wa Dar es Salaam na wahariri wa vyombo vya habari wanazungumza muda huu. Tukio limetokea na amekiri kuwa ni kweli limetokea lakini dhana wakati linatokea haikuwa kama ilivyochukuliwa. Kwa sababu hataki kurudi na kuchimbua makaburi alichoomba yaliyopita yamepita tugange yaliyopo na...
  15. Kisu Cha Ngariba

    Macho yote kwake.

  16. Kisu Cha Ngariba

    Serikali ku-renew mkataba wa IPTL?

    -------------- iparamasa said; IPTL, ile kampuni inayoinyonya usiku na mchana Tanesco na ikakwapua pesa za Escrow, imeomba muda zaidi iendelee kuiuzia umeme Tanesco! Kampuni hii inaomba leseni wakati nchi ikihangaika na mikataba ya hovyo ya makinikia, na serikali hii itapimwa kama kweli ina...
  17. Kisu Cha Ngariba

    Picha ya siku.

  18. Kisu Cha Ngariba

    Katibu Mkuu wa CCM atajumuika kwenye Ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali

    Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Abraham Kinana atajumuika kwenye ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali. Ataonekana kwa mara ya kwanza tokea Mh. Rais kusema amemtuma kwenye matibabu nchini India na kusababisha sitofahamu kwa wananchi.
  19. Kisu Cha Ngariba

    Mbunge na Meya wa Moshi Mjini, wanyimwa kuingia Ikulu ndogo kuonana na Rais Magufuli

    Mbunge wa Moshi Mjini Jaffar Michael na Meya wa Moshi wazuiwa kuingia Ikulu ndogo kuonana na Rais Magufuli kwa madai hawakuwa na mwaliko- ======= Andika ndugu Japhary Michael Mbunge wa Mbunge Moshi Mjini Kwa masikitiko makubwa napenda kuwaarifu kwamba siku ya Jumapili tarehe 30/04/2017, Mimi...
Back
Top Bottom