Picha ya siku.

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
c04f0d3f50307512536d1d3a1165f61a.jpg
 
Ilani ya chama hiyo mkuu. ogopa sana njaa ikihamia kichwani, unakikubali hata kile ulichokuwa unakipinga hadharani.
ila mi sio msomi kama yeye, labda anaweza kuwa sahihi :(:(:(:(

Mkuu hapo ndipo unaposhangaa maana ukiona mpaka waliomzunguka wanashangilia ujue kuna tatizo
Maana wanajiuliza huko jukwaani wakati akiwa mpinzani alikuw aanapinga nini na sasa anakubali na kupokea nini
wapinzani wana safari ndefu sana kuwa wapinzani kweli bado chama tawala kina wafuasi mpaka miongoni mwao
 
Wanaomzunga kama hawaamini kinachotokea, ila pia dhambi ya usaliti haijawahi kumuacha mtu salama. poor Zitto, Jamaa anawachezea kama anavyotaka. sasa huo ni msimamo wa mwenyekiti, sijui wale wanachama kindakindaki kama wameelewa kwamba mwanasiasa anachoongea ukweli ni salamu tu.
 
Ndo wanachama waelewe sasa kuwa chama chao kilikuwaje na nini kilitokea haswa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015
Na may be upinzani nao uelewe kuwa nuna vyama vya upinzani na kuna mamluki wa upinzani ambao wako upinzani kuuangusha upinzani
 
upinzani TZ bado sana mkuu, labda saivi baba levo nae anaweza pata shavu huko juu awe jirani na zito
 
Duh, Binadamu tunatofautiana Sana, yaani Mimi siwezi kuikanaa nafsi yangu kabisa, siwezi kabisa kufanya Hilo.

Naomba Niulize, hivi Ikulu Kuna ofisi ya RC Wa Dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom