Katibu Mkuu wa CCM atajumuika kwenye Ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,826
Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Abraham Kinana atajumuika kwenye ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali.

Ataonekana kwa mara ya kwanza tokea Mh. Rais kusema amemtuma kwenye matibabu nchini India na kusababisha sitofahamu kwa wananchi.
 
Katibu mkuu wa Ccm,ndugu Abraham Kinana atajumuika kwenye ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali.
Ataonekana kwa mara ya kwanza tokea Mh Rais kusema amemtuma kwenye matibabu nchini India na kusababisha sitofahamu kwa wananchi.
Si yuko likizo ya ugonjwa?
 
Ataonekana pale lkn atakuwa kazungukwa na "vijana" kibao, hatakuwa huru to that extent.
Kama vipi muacheni aongee na wanahabari. Hiyo ya kesho ni zuga tu.
 
Katibu Mkuu wa CCM, ndugu Abraham Kinana atajumuika kwenye ibada ya kitaifa ya kuwaaga wanafunzi waliopata ajali.

Ataonekana kwa mara ya kwanza tokea Mh. Rais kusema amemtuma kwenye matibabu nchini India na kusababisha sitofahamu kwa wananchi.

Kinana atachomokea kwenye ile nyumba ya serikali kule karibu na TBL. Zile nyumba walizozijimilikisha huku siyo waajiriwa serikalini.

Hivi huwa ninajiuliza hiki kiswahili cha kutumwa matibabu ni chetu kweli?

Nifahamuvyo unamruhusu mtu kwenda matibabu siyo unamtuma kwenda matibabu.
 
Back
Top Bottom