Tetesi: John D Pallangyo kupita bila ya kupingwa kwenye jimbo la Arumeru Mashariki.

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,206
2,000
Habari kutoka ndani ya Ccm ni wanataka kumpitisha John D Pallangyo kuwa mbunge wa Arumeru Mashariki.

John D Pallangyo aligombea mwaka 2015 lakini alishindwa kufurukuta mbele ya kijana mdogo Joshua Nassari ambae kauza ubunge wake kwa pesa za Ccm.

Nafasi ya John D Pallangyo kushinda ni kubwa sana, kwanza wananchi wamekata tamaa baada ya miaka minne bila ya maendeleo yoyote jimboni hapo, wakijua ni figisu za serikali baada ya jimbo kuwa chini ya upinzani.

Wananchi wanahisi wakimchagua mbunge wa Ccm watapata maendeleo na kero zao zitatatuliwa bila ya ubaguzi kama waliokua wanaupata wakati wa Nassari.Sent from my iPhone using JamiiForums
 
King punda

Member
Jan 20, 2019
97
125
miaka mingi jimbo limeongozwa na chama kongwe lakini matatizo yapo pale pale ila kaja kijana nasali kajitaaidi kuweka mambo sawa ila anawangiwa na chama kijani wana arumeru chaguo lipo kwenu sisi yetu macho na ushauli kwenu kuchagua litakalo wafaa lipo mikononi mwenu
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,448
2,000
Ovyo kabisa badala ya kuwaza fedha za walipa Kodi zinavyotumika ovyo, mnawaza madaraka tu.

Kurudia uchaguzi zinatumiaka zaidi ya bilioni4, wakati kutwa Serikali inakimbizana na Wamachinga walipie hata 20,000 na hawana.
Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
 
nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,063
2,000
NEEMA KWA WAPIGA DEAL WA AWAMU YA TANO.2015 UCHAGUZI KAMA HUU UNGEGARIMU MILIONI 900 SASA HIVI NI BILIONI 4 NA HAKUNA CHA MTU KULETA FYOKO WALA NYOKO. WHAT A GREAT ERA TO EMBEZZLE.TZ MPYA
 
1000 digits

JF-Expert Member
Oct 16, 2012
4,501
2,000
Yule kijana amecheza karata Kali sana ya kupiga pesa.
Simuamini mtu wa ukanda huo anapoona pesa.
Labda wale wa Kuanzia Mwanga kudi Tanga lakini sio kuelekea Himo,Arusha na Manyara. Ni watu walioandaliwa kimaslahi zaidi japo wanatumia akili ya ziada kutafuta pesa.
Nasari amepima umri wake akao na pesa mingi akapiga kisha akacheza mchezo mchafu na Waroho wa Vyeo na Madaraka ,Mabeberu wa Karne hii CCM .

Kuna kanda Tatu za kuogopa:
Ukanda wa pesa ,ukanda wa kidikteta na ukanda wa kupendana daima kimaslahi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msakaa jr

JF-Expert Member
May 18, 2017
3,085

Hahaha kwahiyo dogo kapiga pesa chafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,120
2,000
Kuna kanda Tatu za kuogopa:
Ukanda wa pesa ,ukanda wa kidikteta na ukanda wa kupendana daima kimaslahi.
Hizo kanda mbili za mwanzo; yaani, "Ukanda wa pesa, na Ukanda wa Udikiteta" umeelezea vizuri hizi zinajulikana zilipo.
Na huo wa tatu je, upo wapi "ukanda wa kupendana daima kimaslahi"?
 
fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
7,995
2,000
Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Maendeleo aliyofanya ni makubwa Sana moja wapo kuuza ubunge wake kwa CCM!
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
20,167
2,000
wapinzani hawaaminiki kabisa ; unampigia kura anaamua tu asiende Bungeni; na wala sio siku moja au mbili Bali ni vikao vitatu mfululizo ; wana arumeru mashariki mmedharaulika sana na wapinzani, ndio mjue kuwa wapinzani wanawatumia wananchi kujinufaisha wao binafsi. hawa ni wa kuogopwa mno
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
5,689
2,000
Tueleze maendeleo ya huko kutoka kwa Mbunge aliyeondolewa.. yaani alifanya nini.. labda utasaidia kutupa picha ya alichofanya na ikaeleweka ya uzi huu sio ya kweli.
Wewe kiwavi jeshi..Dogo janja kawa mbunge miaka 9..CCM walishika hill jimbo miaka 49..kimahesabu ni nani alitakiwa kuleta maendeleo??
 
Top Bottom