Search results

  1. Vesper-valens

    Jamani, huu mgao bado unaendelea?

    Happy Easter to everyone, Huku mtaani kwetu Goba njia nne Tanesco wameshafanya yao. Jamani huu mgao bado unaendelea?
  2. Vesper-valens

    Unafiki wa mama ntilie

    Habari wakuu, Leo nimeona nijaribu ku share baadhi ya tabia za mama ntilie ambazo wakiwa wenyewe huzifanya ila akiwepo mteja hawafanyi, Wakati wa asubuhi akiwa anakaanga vitavuno, (Maandazi, vitumbua, half cake na chapati) wakati anaviweka kwenye zile meza zao za Aluminium tayari kwa ajili...
  3. Vesper-valens

    Story ya kusisimua kuhusu Jaymoe na Langa

    Story ya Jaymoe na Langa iko hivi kwenye wimbo ya Jipange wa Jaymoe , Kuna mstari jay moe anasema " Amani kwa kaka voda milionea/ Wastue wadogo zako waache poda wale mmea/ Hapa alikua akijaribu kumkumbusha Kaka voda awastue kina langa kua Unga sio mzuri Langa Ni kama alipanic akaja kujibu...
  4. Vesper-valens

    Tukiwa wadogo tulitamani kufanya mambo mengi ila tulibanwa na wazazi, leo tumekuwa watu wazima tunatamani kufanya mambo mengi ila tunabanwa na Uchumi

    Habari wakuu, Ni ukweli usiopingika kipindi ukiwa mtoto, kuna mambo mengi ya utotoni ulitamani kuyafanya lakini wazazi/walezi walikukataza, kutokana na saababu mbalimbali kitu kilichopeleka kuhisi kukosa uhuru Maisha yanabadilika unakuja kuwa mtu mzima ukiwa na uhuru wa kufanya kila kitu...
  5. Vesper-valens

    Nauli mpya za daladala zimeifanya shilingi 100 kugeuka dili

    Habari wakuu, Tangu walipotangaza mabadiliko ya nauli za daladala imekua ni kero kwenye kila daladala. Mtu ukipanda wakati wa kutoa nauli lazima konda akuulize una sh 100 hapo? Au wakuu nyie mna magari binafsi hili swala hamna taarifa nalo? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Anyway Happy new...
  6. Vesper-valens

    Ukitaka kununua kiwanja hakikisha survivey plan iko approved wizarani

    Habari wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumezuka makampuni mengi yanayouza viwanja, lakini katika hayo makampuni sio yote yanafuata taratibu katika upimaji wa viwanja,hali inayopelekea migogoro mingi wakati wa ku process hati miliki Kuna umuhimu sana kununua kiwanja kilichopimwa na survey plan...
  7. Vesper-valens

    Ubora wa matangazo ya Wasafi Festival live upo chini sana

    Wakuu kwema? Nipo nafatilia hili tamasha la wasafi festival live hii show ya Songea. Jamaa wamejitahidi sana kwenye promotion lakini ukija kwenye ubora wa matangazo ya live ni very poor. Hii inawapunguzia sana credit
  8. Vesper-valens

    Chege kukubali kujiunga TNC ni kujirudisha nyuma kimuziki

    Wakuu kwema? Ebhana leo nimeona niongelee hii issue, Kuna Kundi jipya limezinduliwa siku za hivi karibuni (TNC) TNC inaundwa na member wa tatu kutoka TMK wanaume family ambayo baadaye ilikuja kuvunjika na kuzaliwa makundi mawili yani TMK halisi na TMK family Wazo la kuanzisha TNC naamini...
  9. Vesper-valens

    Google pixel zina tatizo la kujizima ghafla?

    Wakuu habari zenu, Nimekuja kwenye hili jukwaa lengo ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu na watu wenye uzoefu na hizi simu za Google pixel. Nimejichanga nimepata hela kidogo, nataka ninunue google pixel 5a kutokana na specs zake Ila kuna jamaa yangu Kariakoo anaziuza hizi simu ila kanipa...
  10. Vesper-valens

    Kila changamoto unayokutana nayo hakikisha umefanikiwa kuivuka

    Habari, Eid mubarak kwa watu wote Imekua ni kawaida kwa watu wanaopitia changamoto mbalimbali kuona kuwa ni sehemu ya maisha hali ambayo imepelekea asilimia kubwa watu kuzipuuza changamoto wanazokutana nazo bila ya kuzitafutia suluhisho la kudumu, Kikawaida ili mtu apige hatua moja kwenda...
  11. Vesper-valens

    Changamoto unazopitia zisiishie kukukomaza tuu jitahidi upate suluhisho la kudumu

    Habari, Imekua ni kawaida kwa watu wanaopitia changamoto mbalimbali kuona kuwa ni sehemu ya maisha hali ambayo imepelekea asilimia kubwa watu kuzipuuza changamoto wanazokutana nazo bila ya kuzitafutia suluhisho la kudumu, Kikawaida ili mtu apige hatua moja kwenda nyingine ni lazima akutane...
  12. Vesper-valens

    Wafanyabiashara mtandaoni jihadharini na wimbi kubwa la matapeli

    Habari wakuu, Leo nimestaajabu sana tukio lilimtokea moja ya watu wangu wa karibu wanaojishughulisha na biashara za mtandaoni. Ilikua hivi; Alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kama mteja na alihitaji bidhaa fulani akataka afanyiwe delivery. Basi baada ya kuelewana bei. huyu jamaa yangu...
  13. Vesper-valens

    Mafanikio hubebwa na mnyororo wa thamani

    Mafanikio yanabebwa na kila jitihada zozote za kuongeza thamani (branding) ya kitu au mtu. Ukiwa kama kijana mwenye ndoto za kuyafikia mafanikio unapaswa kuhakikisha una ongeza thamani kwa kila utakachokifanya. Tukianza na vitu vya kawaida kabisa, mfumo wa maisha ya kila siku uvaaji, ulaji...
  14. Vesper-valens

    Ulimwengu wa roho na ulimwengu wa sayansi huzungumza lugha moja

    Habari wana JF, Kwa kuanza tuu niweke wazi, Mimi ni naamini uwepo wa Mungu. Kumekua na nadharia mbali mbali ambazo zinapingana kuhusu huu ulimwengu tunao ishi , Lakini ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Asili, spirit & science vyote huzumgumza lugha moja kwa namna ya tofauti Nikisema lugha...
  15. Vesper-valens

    Asili, Ulimwengu wa kiroho na Ulimwengu wa sayansi vyote huzungumza lugha moja ila kwa namna ya tofauti

    Habari wana JF, Kwa kuanza tuu niweke wazi, Mimi ni naamini uwepo wa Mungu Kumekua na nadharia mbali mbali ambazo zinapingana kuhusu huu ulimwengu tunao ishi , Lakini ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Asili, spirit & science vyote huzumgumza lugha moja kwa namna ya tofauti Nikisema lugha...
  16. Vesper-valens

    Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

    Happy Easter to everyone, Nimeguswa ku share haya machache kuhusu hili kundi kubwa la watu (Wasomi) ambalo ndo linaongoza kulalamika huku mitandaoni kuwa maisha magumu na wengine wakienda mbali zaidi kuwa serikali yetu haiwajali. Nimefuatilia kwa ukaribu wasomi wengi, kitu kinachowakwamisha ni...
  17. Vesper-valens

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Kalapina, Huyu jamaa mbali na kuwa na harakati nyingi akiwa pamoja na kundi lake la Kikosi cha mizinga .ukweli ni kwamba hana kipaji cha music. Alipata umaarufu coz ametoka kipindi wasanii ni wachache Sugu Huyu jamaa ana majina kibao kama Mr two, jongwe, too proud na sasa anajiita Taita...
  18. Vesper-valens

    Wanawake na hulka ya kujipa kipaumbele kwenye mahusiano

    Habari wakuu, Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka , na kwa ndugu zangu islamic niwatakie mfungo mwema Iko hivi hawa viumbe kiasili ni wabinafsi na kwakua hawapendi kuteseka basi kimbilio lao kubwa ni kuangukia kwenye mahusiano ili kupunguza mzigo , asilimia kubwa ya wanawake mpaka...
  19. Vesper-valens

    Ukiweza kuongeza thamani kwa kila utakalofanya mafanikio hayako mbali na wewe

    Mafanikio yanabebwa na kila jitihada zozote za kuongeza thamani (branding) ya kitu au mtu. Ukiwa kama kijana mwenye ndoto za kuyafikia mafanikio unapaswa kuhakikisha una ongeza thamani kwa kila utakachokifanya Tukianza na vitu vya kawaida kabisa , mfumo wa maisha ya kila siku uvaaji, ulaji...
  20. Vesper-valens

    Jiepushe na Mawazo hasi yatakupotezea muelekeo wa maisha

    Kila linaloendelea kwenye maisha ya mwanadamu hutegemea watu na mazingira yaliyomzunguka, siku zote pendelea kukaa katika mazingira yatakayokupa positive energy kiakili kimwili na kiroho Epuka sana kuwa karibu na negativity , watu wengi wanaanguka kila siku kutokana na companies,mazingira na...
Back
Top Bottom