Ulimwengu wa roho na ulimwengu wa sayansi huzungumza lugha moja

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,287
7,388
Habari wana JF,

Kwa kuanza tuu niweke wazi, Mimi ni naamini uwepo wa Mungu. Kumekua na nadharia mbali mbali ambazo zinapingana kuhusu huu ulimwengu tunao ishi , Lakini ukichunguza kwa makini utagundua kuwa Asili, spirit & science vyote huzumgumza lugha moja kwa namna ya tofauti

Nikisema lugha hapa naamanisha kuwa hivi vyote vina amini katika kitu kimoja ila kila ulimwengu hapa huzungumza kwa lugha yake , ndo maana hizi nadharia za kupingana hazitakaa ziishe kwakua kila ulimwengu huzungumzia kitu kwa lugha yake.

Kwa maana nyingine ni kuwa hakuna universal language katika kuchambua huu ulimwengu wetu

Asili•
Karma is a bitch:

Karma specifically is the principle of buddhism & hinduism that concern idea of "You get what you give"

Huu msemo ni maarufu sana barani asia , na una maana ile ile kwamba ukitenda mema utalipwa mema , ukitenda mabaya utalipwa mabaya

What goes around comes around:

Means " If someone treats other people badly he/she will eventually treated badly by someone else"

Huu ni msemo wa Wazungu na ukiangalia maana ni ile ile

Malipo ni hapa hapa duniani:

Waswahili pia tuna msemo wetu huu ambao ni maarufu sana na una maana hiyo hiyo moja

Ulimwengu wa kiroho•

Ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga:

Mathayo: 26 (52-53)

Yesu akawaambia rudisha upanga wako alani, maana yeyote anayeutumia upanga atakufa kwa upanga"

Ulimwengu wa science•
Newton third law of Motion & reaction

"For every action (force) in nature there is an equal and opposite reaction"

This means that " If object A exerts force to object B, Object B also exerts an equal & opposite force to object A"

Kwa maana hiyo Spirit, nature & science vyote vinaongea lugha moja ila kwa namna ya tofauti
 
You are absolutely right!

Kuna kipindi wanascience walifikiri wamefuzu mambo yao ya kuvumbua baadhi ya Vitu na wakathubutu kusema kwamba kila kitu kinajitokea chenyewe!

SCIENTISTS wa sasa hivi wameerevuka...

Wanakiri kabisa kwamba Mwenye Navyo!

Sasa Atheists tulioko nao na tena hao ambao hata Science hawajaijua vizuri wamekuwa na wakati Mgumu sana wa kutetea wanachokiamini!

Anyway
A Science is a fruit of Nature...

Nature is all what is and what is not!

Spirit Exists.

God is the Master of all Spirits and non spirits!

I condone..!
 
You are absolutely right!

Kuna kipindi wanascience walifikiri wamefuzu mambo yao ya kuvumbua baadhi ya Vitu na wakathubutu kusema kwamba kila kitu kinajitokea chenyewe!

SCIENTISTS wa sasa hivi wameerevuka...

Wanakiri kabisa kwamba Mwenye Navyo!

Sasa Atheists tulioko nao na tena hao ambao hata Science hawajaijua vizuri wamekuwa na wakati Mgumu sana wa kutetea wanachokiamini!


Anyway
A Science is a fruit of Nature...

Nature is all what is and what is not!

Spirit Exists.

God is the Master of all Spirits and non spirits!

I condone..!
Thank you so much for clarification
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom