Search results

  1. Eagle J

    Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Mzee JBourne59 unaweza saidia kwenye huu uzi tupate vitabu vya kujua nywila
  2. Eagle J

    Je, ni vitabu gani vya utundu wa mapenzi umesoma vimekusaidia mpaka leo?

    Katika kupitia uzi pendwa mzee Jason Bourne na Mkuu Kiga wametuonesha kuwa kusoma vitabu vilisaidia wao kujua jinsi ya kupata nywila za wenzi/wapenzi wao. Wanadau naombeni vitabu mlivyosoma ili tusaidiane kwenye libeneke, maana sio wote wameenda jando
  3. Eagle J

    Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    Mkuu huyu wa kwako hana rafiki yake tufanye namna?
  4. Eagle J

    Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

    Mleta mada, jikubali na umbo lako ulivyo wapo tunaopenda wasio na makalio makubwa na wapo tunaopenda makalio makubwa... kama waswahili wanavyosema "wewe wasema cha nini wengine wanasema nitakipata lini" cha umuhimu kila mtu na starehe yake na anafurahia
  5. Eagle J

    Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

    Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu. Je ni kweli mna tabia hizi
  6. Eagle J

    Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

    Nina imani kila binadamu ana kitu pendwa chake, waopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi na wasiopenda wanawake bikra wana sababu zao za msingi, si vyema kukashifu pande hizi (bikra na wasio na bikra)...cha muhimu kila mmoja kafurahia tendo mkutanapo kwenye "game"...so don't feel...
  7. Eagle J

    Tuliopewa tunda baada ya kutoa lifti tukutane hapa

    kuna kanuni moja tu...transport+food=SEX hii kanuni ndogo ila imeleta nderemo na vifijo
  8. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Hapa ndio msingi wa swali langu maana kuna wazee wawalikua wanaeleza hili jambo na nimeambiwa zamani hizo mzee anajua kabisa hii sio damu yangu ila ndio wanasema kitanda hakizai haramu analea mtoto na anampatia jina...ila mama mpaka anakufa hasemi yule mtoto ni wa nani
  9. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    unajaribu kukadiria umri wangu au nini...ok m late 30 kukusaidia...turudi kwenye content
  10. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    unadhani kila mtu ni dogo kuwa na heshima...ungekaa kimya maana hujajua kwanini nauliza hili jambo
  11. Eagle J

    Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

    experience is the best teacher, ndio kinachowabeba wanawake/wanaume walio enda umri...tatizo la wanawake wakubwa wengi ni kutengeneza haki miliki "anataka uwe chini yake" hapo ndio tofauti inapotokea Zaidi ni watu wazuri wanaku shape na mapambano ya dunia na kukufungua macho mambo ya...
  12. Eagle J

    Je, Tanzania kuna wanawake wanaolenga wanaume kwa ajili ya kuzaa nao watoto?

    Nilipata simuliwa kuwa wanawake wa kizungu wana tabia ya kwenda sehemu za mbali na kum target mtu kwa ajli ya kuzaa nae kisha kupotea/kupoteza mawasiliano nae... Je Tanzania kuna wanawake wa namna hiyo?
  13. Eagle J

    Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Je kama mzazi hakutaka kuweka mazingira ya mtoto kuonana na mwenza wako na kujenga mahusiano...sio wote as single parent wanapenda kuwaweka wenza wao karibu na watoto
  14. Eagle J

    Single father/single mother: Mtoto wako anapomkataa mwenza wako uliyenae serious katika mahusiano

    Maisha ya malezi yanachangamoto zake, na changamoto iliyopo ni mtoto kukataa au kumfanya akaubaliane na mwenza ambae mmefika hatua ya kutaka kuishi pamoja kama mume na mke ila mtoto ndio haivi na mwenza wako na ni mtoto mdogo (under 7 yrs) huwezi kumlazimisha akabaliane na hali halisi Je...
  15. Eagle J

    Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

    hivi vitabu VYOTE vinapatikana?
  16. Eagle J

    JE KUWA NA MWANAMKE/MWANAUME MWENYE GUNDU?

    nachoona kuna wanawake ukiwa nao maisha yanakunyookea kila unachogusa kitu kinatiki...alafu kuna wale mambo hayaendi kila unachogusa mambo yanakuwa jiwe
  17. Eagle J

    Hivi kuna ulazima kuwa na urafiki na mpenzi ambaye mlishaachana?

    Sio lazima kuwa rafiki na ex wako, cha ulazima muwe na AMANI kati yenu hata mkikutana njiani kwa bahati mbaya msalimiane...Katika maisha huwezi kujua kesho yenu ikoje kuna baadhi ya ex wanajua ubora wako (sio kitandani) wanaweza kukupasia dili/kazi ili upate ngawira kidogo...imani yangu ipo...
Back
Top Bottom