Habari wajumbe,
Nina Screen zangu mbili, Digihome (Inch 42- black) mtumba na SON Bravia (Inch 28, Cream colour), TV hizi ni mbovu hii DigiHome ilizima tuu mwaka jana, na hii SON Bravia inaonyesha nusu kioo upande mmoja haionyeshi. Kama kuna mtu ananunua Screen mbovu naombeni connection jamani...
Hahahahahah! hiyo ndo bongo Dar es salama sisi huku koromije maajabu yetu ni kuona Harrier new Model ikipita kijijini kwetu, maisha yetu sisi usafiri kwama la ng'ombe mnyama, asubuhi kiporo cha ugali na kikombe cha maziwa mgando. Karibu kwetu
Guys! hii imekaaje? Masaju alikuwa mwanasheria mkuu wa serikali, role inayomaanisha kesi zote na kazi zote za kisheria related to serikali yeye ndo muhusika Mkuu, SAAAAAAAAAASA swali langu, Kama ameteuliwa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ina maana viporo vyake (Court cases) vilivyokuwa pending huko...
Mohamed hussein kwa sasa ni kocha anaekinoa kikosi cha soka toka timu ya wafanyakazi wa FINCA Microfinance Bank . huku pia akijishughulisha na kazi zake nyingine. Mara kadhaa anaonekana katika viunga vya TAN HOUSE Victoria yalipo makao makuu ya benki hiyo.
Guys, ni sahihi sana kwa Benki kuu kuchukua hatua dhidi ya mabenki ambayo Capital adequancy Ratio (CAR) yake inakuwa below requirement ya BOT and this be kwa manufaa ya Wateja na washikadau wengine. Ila pia hii ina matokeo yake hasi kiasi cha kutosha tuu kwa nchi kama Tanzania ambayo Engineers...
Duuuuuuuh Revocation ya Banking Lisence hatareee sana, anyway BOT wanasababu za msingi kufanya hivyo maana sababu kama critical undercapitalization zinaweka risk kubwa kwa wateja. Words lie but Numbers Dont lie
HAbari wanajukwaa!
Nimefuatilia kwa karibu usomwaji wa kesi na maaamuzi ya mwisho katika kesi ya msingi iliyofunguliwa na Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya NASA kupinga matokeo ya uchaguzi, na kugundua kwamba kuna haja wa mhimili wetu wa Mahakama nchini Tanzania kujifunza kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.