Search results

  1. ZeMangi

    Wametoka kwa Albino wameanza tena kuchuna ngozi..

    Wakazi wa eneo la Katoro Geita hatuna amani kabisa baada ya tukio la jana saa 3 asbuhi tuliposhuhudia mwili wa binadamu mwanaume ukiwa umechunwa ngozi na kutelekezwa katka uwanja mmoja ambao unaandaliwa kwa ajili ya kujengwa stendi mpya,kwa kweli inatisha hasa kwa walioshuhudia tukio hilo la...
  2. ZeMangi

    Umdhaniaye sie kumbe ndiye...mh!

    Wana JF,ktk mishemishe za hapa na pale mara jamaa m1 kapita na eskudo yake akanirushia matope bhana,jamaa kasimamisha gari na kushuka ili kuniomba msamaha,mm kwa hasira nikaanza kumkoromea,jamaa akaanza kujitetea "ooh...sasa jamaa yangu kuwa mpole naomba unisamehe"mm nikazid 2 kumkoromea...
  3. ZeMangi

    Huyu Mama...mh!!

    Jamani haya sijuwi ni malezi gani......mama m1 ambaye hajaolewa anaishi na katoto kake ka kike umri wa miaka 6,cku 1 akaleta limsela ndani,usku kukurukakara zikaanza,kumbe jamaa alikuwa na d.ick kubwa iliyosababisha maza kulia kwa maumivu,akavumilia tu mpaka njemba ikamaliza shughuli...
  4. ZeMangi

    Sijui ni kweli.!!?

    Mbwa na Paka walikuwa wanapiga stori Mbwa>kwa nn nyie huwa mnajificha mkiwa mna "do"na dem wako? Paka>aagh...!huwa kila tuki'do' hawa binadamu wanatuiga style zetu,ndo maana tunajifichaga. Mbwa>mh.!mbona mm nafanya hadharan na hawaigi style zangu? Paka>ww jidanganye,hujui kama walishaiga ile ya...
  5. ZeMangi

    Nje.... nje...nje...ndani....

    Ukifika UHOLANZI utawakuta akina... Van parse Van Der vart Van nestroy Van Mangi... BRAZIL(dinyo) mangidinyo ronaldino (da) -da silva de fereira Pereira JAMAICA Huku kuna akina "Sean" TANZANIA nako.!?
  6. ZeMangi

    Puuh!

    Jamaa m1 alikuwa anatembea na mke wa jirani,siku 1 mke wa jirani akamuita jamaa mida ya ucku ili wafanye matusi kwa sababu mumewe hakuwepo,wakati wanaendelea ku duu,jirani akarudi akawa anagonga mlango,yule mwanamke akafungua mlango wa nyuma akamwambia jamaa aondoke, jamaa alikukuruka na...
  7. ZeMangi

    Huku bush hata tarehe cjui,kama nimekosea mnisamehe....

    "HAPPY NEW YEAR 2012" duh,huu mwaka umeanza vizurieee,mh japo ckumbuki leo ni tarehe ngapi!Jamani tusherehekee wote mwaka mpyaaaaa....
  8. ZeMangi

    Nani wa kumcheka mwenzake..?

    Jamani tusaidiane hapa,,,nani atamcheka mwenzake kati ya:- 1-ARSENANE, 2-MANSIX au 3-CHELFIVE?
  9. ZeMangi

    Aisee mama masawee unanichanganya...!!!...

    Aisee ni baada ya kuvunjiwa duka na kuibiwa kila kitu,japo nyumbani kulikuwa na salio kdogo.... MKE>sasa baba masawee haya maisha tutaishi mpaka lini...mimi nimechoka bwana. ZeMANGI>vumilia tu mke wangu japo kwa hii wiki....sawa baby.!? MKE>Khaaaa...mme wangu,yaani wk nzima tutaishi...
  10. ZeMangi

    Ndivyo itakavyokua..!

    Siku ya mwisho nitakapokabidhiwa kitabu cha hukumu huko Mbinguni, MUNGU:Mangi shika kitabu hiki,wasome wale watakatifu wapite mkono wa kulia...na wale watenda maovu mkono wa kushoto kwenye ziwa la moto. MANGI:Sawa bosi, Wana JF wote walioshiriki kuwaponda wachaga....KUSHOTO...., wana CCM...
  11. ZeMangi

    Aisee jombaa,ni aje humu?

    Nimekuja aisee ila kibiashara zaidi, nauza; mbege,mikate,matrekta,vifaa vya baiskel,maandazi,supu,wali,pilau,vifaa vya pikipiki,sukari,mchele,nyama ya kitimoto,sabuni,maharage,sambusa,karanga,vifaa vya ujenzi,kondomu, pia ninaziba pancha za baiskeli,magari pikipiki,ninaosha magari na...
Back
Top Bottom