Nani wa kumcheka mwenzake..?

ZeMangi

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
436
33
Jamani tusaidiane hapa,,,nani atamcheka mwenzake kati ya:-
1-ARSENANE,
2-MANSIX au
3-CHELFIVE?
 
nilitegemea itakuja hii kitu,ila jamaa wameniangusha ile mbaya
 
Chel5 atamchka arse9 afu man6 na chel5&arse9 watapga stor za kuzga ka m2 na x wke ha ha ha
 
Jamani tusaidiane hapa,,,nani atamcheka mwenzake kati ya:-
1-ARSENANE,
2-MANSIX au
3-CHELFIVE?
Muosha nae huoshwa, halafu huwezi kuwa basha kama hujabashiwa! Man6 alijiona mjanja kwa kumfunga Are8 kumbe nae kapata kijogoo mwenzake!
 
kila aliyeshinda ndie amcheke mwenzie mfano mansix anamcheka asen8l na asen8l atamcheka chel5 na mansix atchekwa na wote ase8l na chel5
 
sisi tulishapewa jina jaman nashanga limebadilika ghafla kisa kipigo cha arsenane....tulikua tukijulikana kama kanga moko kitu ndembe ndembe (chelsea)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom