Huku bush hata tarehe cjui,kama nimekosea mnisamehe.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huku bush hata tarehe cjui,kama nimekosea mnisamehe....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ZeMangi, Nov 5, 2011.

 1. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "HAPPY NEW YEAR
  2012"
  duh,huu mwaka umeanza vizurieee,mh japo ckumbuki leo ni tarehe ngapi!Jamani tusherehekee wote mwaka mpyaaaaa....
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umekosea ni mwezi wa 6 mwaka 2013 ndo kwaanza mwaka umefika katikati
   
 3. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante,nimeelewa mwezi wa 6,kwa hiyo nitahesabu cku 31 kuanzia leo then itakuwa imefika mwez wa 10,si eti?
   
 4. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Huku kwetu ndo kwanza heka heka za kampeni uchaguzi mkuu zimeshika kasi...
   
 5. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtafanyaje kampeni mwezi wa kwanza?labda uniambie kwamba leo ni Tar 10/02/2010 cku ambayo uchaguzi unafanyika
   
 6. Maswi

  Maswi JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ni kweli ze mangi, wewe si unawaza hela tu, ila leo ni 2014
   
 7. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uongo aisee,wakati 2014 nilikuwa na mwaka m1 na miezi 13....labda kama umekosea ni mwaka 2004.
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tumia visoda kuesabu maana kosa sio lako kosa nila watu walioiweka ccm madarakani, watoto vijijini wanamaliza std7 bila kujua kusoma na kuandika
  na kusoma wakiwa wamekalia mawe
   
 9. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa Shine,ukweli kabsa,coz nilimuuliza mshuwa"eti rais wa nchi ye2 ninan?"kanijb "JK Nyerere"ukimuuliza mwaka aliozaliwa anaxema kipindi kabla ya uhuru,sasa mm namshangaa,kwani Tz si 2lipata uhuru mwaka 1691 eti jamani,au na mm nimekosea?maana huku bush noma.
   
 10. v

  valid statement JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  dah... Eid mubarak mangi!
   
 11. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siyo sikukuu ya Eid mubarak wewe....unafikiri sijui kwamba ni sikukuu ya kusherehekea mwaka mpya?sidanganyikiii...
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  hongera... Eid njema.
   
 13. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  eti Ze Mangi nasikia huwa mnajua muda kwa kutazama jua,
  je siku jua lisipo waka huwa inakuwaje??
   
 14. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh teh teh.,we acha 2,huwa ukiulizwa ni saa ngapi?unajibu...asbuh,mchana au jion utakavyojisikia,kumbuka tu kwamba huku nilipo sio uchagani ila ni maeneo fulan ambapo daladala kwao ni baiskel.
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahahaah!! Hivi uko nchi gani zemangi.
   
 16. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ze mangi utakuwa umepiga kijiti
   
 17. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  panaitwa Ilangasika,nilipakia gari hadi mwanza,nikalala guest maana nilifika sa4 ucku,asubuh nikavuka kamanga ferry nikapakia coaster had geita,nikapakia mchomoko (vigari vidogo vya biashara NOAH,GYPSUM etc..)hadi sehemu 1 inaitwa katoro,nikapakia tena mchomoko hadi Lwamgasa,nikapakia daladala(pikipiki)hadi kilombero moja(sio ya moro lkn)hapo nikaanza kuchanja mbuga kwa mguu kama KM 4 hivi ikawa ni saa 1 jion,ikabidi kumpigia mwenyeji cm akaniambia nilale hapo kesho niendlee na safr,nikalala sehem yenyewe inaitwa Bukoli,kesho yake mwenyeji akanifuata haooo kwa miguu hadi 2kafika ILANGASIKA katika maisha yangu sikutegemea kuwa Tz kuna mazingira kama haya,ni noma,sikufichi huduma za kijamii hakuna hosp.,wtt(s/m) wanatembea km 7 ndo wafike shule.,nilichopapendea tu ni kwamba mh!kuna mabinti wazur we acha 2,ila maskini hawajui chochote.
   
 18. ZeMangi

  ZeMangi JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah!umenikumbusha chalii angu,huku hamna nimekimic..
   
 19. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ila kweli upo kijijin had network inashika uko juu mkuu.
   
 20. mwenye shamba

  mwenye shamba JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2016
  Joined: May 31, 2015
  Messages: 697
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 180
  Rudi tena ujionee palivyo town
   
Loading...