Search results

  1. Zero Sumu

    Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

    Yaani ni kwerekweche Full ma luxury Mama la Mamaaa njoo PM nikulete Ngusero tudeveree
  2. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nchi pekee yenye No Brainer Jeshi...Very stupid [emoji2781][emoji2781][emoji2781][emoji2781]
  3. Zero Sumu

    Makomando tuwaonao huko kwenye movies ndio hao wanaopatikana kwenye mazingira halisi ( jamii )

    Kiuhalisia ndo unapata Hawa Kina Komando Jide na Wale makomando wa Kibaba Baba
  4. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vijana wapunguze hopes za kuitwa itasaidia Sana Kama akikosa lakini atakua disappointed Kama akiwa na hopes...mchuano ni mkali Sana according to mmoja wa wateuzi nilisikia Jana around tar 10s majina ya kidato Cha 4 na 6 yatatoka...subirini
  5. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vijana Wana Wenge Kama hawajapita JKT...shusha matarajio hutojuta mbeleni
  6. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwani si wamesema wanataka almost Failures Sasa madudu yote haya ya Nini..?? Hizi ni sababu tu za kuwanyima. Unaenda kuanza Chekechea kwenye usahili unapewa mtihani wa mwandiko, shenzi Sana si bora wa waambie madogo ukweli halisi. Mtoto wa polisi huku mtaani kanyimwa na baba yake akiwepo kituo...
  7. Zero Sumu

    Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

    Ujana mkuu, watoto wa uswazi tulikua hatuelewi shule kwetu sehemu ya burudani
  8. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Pambana upate shamba Ulime mkuu...Usiache kutumaini lakini Kama yako ipo ipo tuu
  9. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Connection muhimu sio kidogo, siwakatishi tamaa ila sijasema muache mishe zingine
  10. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Narudia tena, Vijana watasikia milio kwenye Bomba...Hizi mambo zinataka upiganishe Sana huko ndani
  11. Zero Sumu

    Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

    Darasa lilikua linapiga zogo kinoma, ticha alivyokuja tukapiga kimya akasema watajwe au anachapa Darasa Zima....akagoma akasema Kuna watu walikua wanacheza mpira wa visoda darasani ndo akataja maninja wote tukapigika. Ticha alivyosepa tukamjia juu tukampa shit, nikamshika Lake Natron akawaka...
  12. Zero Sumu

    Mliowahi kupigana darasani leteni ushuhuda wenu hapa

    Nakumbuka Ilikua Ijumaa mida ya kutoka mapema Waislam wanaenda masjid, Darasa letu E ndo lilikua na watu vilaza na ndio wa mwisho kuhusiwa. Kuna katoto Cha kiarabu nikakaandikia ujumbe wa kukapiga sound wakati Nampa kumbe jamaa wengine nje wananichora nao walikua wanafukuzia, bwana wee muda wa...
  13. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hakuna mtu yeyote ataitwa humu...Subirinj tuu
  14. Zero Sumu

    6 Behaviours of the lady who has a crush on you.

    Mwisho wa Mwezi huwa naziona hizo dalili kwa Kila mwanamke, kwann ikifiki katikati zinapotea..??
  15. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sidhani, bora aendelee kukomaa tu
  16. Zero Sumu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ulipiga Comb gani mkuu.!? Nina ndugu yangu anataka atume ila mambo ya Div 1&2 ndio yanampa hofu yy alipiga Arts.
  17. Zero Sumu

    Money Heist - Season 5 imetoka

    https://o2tvseries.com/Money-Heist-1/Season-05-English/index.html
  18. Zero Sumu

    Umewahi safiri umbali gani kufuata penzi?

    Nilipigishwa route Dar to Arusha, nikafika Nyambu ikaingia mitini ikabidi niende Moshi kufata nyingine nayo ikanipiga chenga ya mwili. Kabla sijageuka Dar nikaombwa msamaha nirudi Arusha kuifata tena Napo ikanichezea Mchezo. Nikafunga Safari mpaka Tanga kwa jamaa yangu akanipeleka kwa Dokta...
  19. Zero Sumu

    Ujenzi huu utanigharimu Tshs ngapi?

    Wanawake mna shida sana
  20. Zero Sumu

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mzee me nimezungumzia mzigo, Mzigooo elewaziGGGOooo
Back
Top Bottom