Nifanyeje niolewe na mwanaume wa Arusha ambaye ni Muislam?

Huyo jamaa ni Mbishi nimemwambia nikamtembeze kwa jamii za Waarusha waislam yangu Babu zao, haya hebu muulize:-

  • Mtangazaji Hemed Kivuyo sio Mmasai?
  • Amina Mollel sio Mmasai?
  • Zahara Mollel sio Mmasai?

Jamaa atakuwa anaishi Longido au Ngaramtoni sio Arusha mjini
Njoo mimi nikuonyeshe mzungu wa marekani mwenye ukoo wa mollel na mchagga mwenye ukoo wa mollel. Tunawauzia ukoo tu hamna shida hata wewe tunakupokea na kabila lako tunakupa ukoo wa Laizer
 
Hivi Mkuu nikuulize tu, unaishi Arusha ipi, maeneo gani? Upo tayari nikifika Arusha nikakuoneshe jamii ya Waarusha waislam tena kwa vizazi kama vitatu au vinne nyuma?

Nina.marafiki wengi tu ambao yangu babu zao walikuwa waislam, Alhaji Mollel aliyekuwa kiongozi wa Msikiti Mkuu Arusha hakuwa Muislam?

Kwasababu naona unajibu kwa mazoea since majority ni Wakristo wewe unajustify kuwa ni wote.

Njoo mimi nikuonyeshe mzungu mwenye ukoo wa mollel na mchagga mwenye ukoo wa mollel. Tunawauzia ukoo tu hamna shida hata wewe tunakupokea na kabila lako tunakupa ukoo wa Laizer
 
Jamani napenda mbegu za kiarusha

Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
Yaani ni kwerekweche Full ma luxury Mama la Mamaaa njoo PM nikulete Ngusero tudeveree
 
Siku hizi kumekuwa na wingi wa mabinti wa miaka 22,23,24 kusaka wanaume. Ndio kuwahi au tu hawajitambui?. Wengi ndio wanapoanzia kupotea hapo. Na mapenzi bado hawajui kabisa
 
Hamia Arusha onesha ufanisi wako kama mwanamke wa kiislamu na vigezo vyote hakika atakuona na mambo yatakuwa kheri.
 
ubaya wa mtu upo wapi kwani? mwonekano au?? ila ushamba ni inategemeana na mtu na mtu kama ilivyo kwa ubaya. hata huko chuga washamba huwezi kuwakosa et.

welcome to mbeya. tupo vzr idara pendwa😆😆
Mbeya washamba Sana alafu wafupi, na mna vistogimbi
 
Back
Top Bottom