Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama umeomba nafasi na una ujuzi kama ushonaji au ufundi wa vyombo vya moto,mtaalamu wa mambo ya maabara na uliambatisha vyeti vya ujuzi huo nafasi ya kuitwa kwenye usaili ni zaidi ya 70% hata kama umri wako ni zaidi ya waliouainisha jiandae.

Jeshi la sasa limebadirika siyo lile la zamani enzi zile unachukuliwa tu ila sasa hivi unaangaliwa utalifanyia nini Jeshi?

Mliosoma kozi zile za social science endeleeni tu na maisha mengine.
Mkuu nimetumia cheti cha form six nimeitwa usaili wa kwanza.tayari ila kukaaa kwangu mtaani zaidi ya miaka mitatu kumenifanya nijue ufundi rangi japo sina cheti nishapiga kazi site za wachina na bado napiga huku nikifatilia hizi nafasi . vipi ukiwa na ujuzi kuna faida ya ziada huko mbeleni
 
Mkuu nimetumia cheti cha form six nimeitwa usaili wa kwanza.tayari ila kukaaa kwangu mtaani zaidi ya miaka mitatu kumenifanya nijue ufundi rangi japo sina cheti nishapiga kazi site za wachina na bado napiga huku nikifatilia hizi nafasi . vipi ukiwa na ujuzi kuna faida ya ziada huko mbeleni
Ulipiga Comb gani mkuu.!? Nina ndugu yangu anataka atume ila mambo ya Div 1&2 ndio yanampa hofu yy alipiga Arts.
 
Siyo kweli acha kuchafua jeshi la polisi .ila kuna watu wachache wanafanya mambo yanayo chafua polisi ..tumia akili acha chuki zisizo na tija
Kila Kona mnalaumiwa nyie tu vilaza na ndio maana kule Malawi mmekoswakoswa kuuwawa na wamalawi kwa ukilaza wenu mnashika vi smg tu mnaonea raia je mngekuwa na makombora na vifaru Kama jwtz pumbavu kabisa nyie.
 
Kila siku polisi hamuachi kufanya uovu na ujinga Jana wenzenu huko ileje wamevuka mpaka kuingia nchi ya watu wakapewa kichapo watanzania wengi wamefurahishwa na polisi wao kupigwa Malawi jiulize kwanini waovu wakubwa nyie. Mnadhani ingekuwa jwtz tungefurahi?
 
Polisi jijini Dodoma wanadaiwa kumfanyia vitendo vya ukatili dereva wa bodaboda kwa kumuingiza mti wa ufagio sehemu ya haja kubwa na kumsababishia majeraha.

Dereva huyo wa bodaboda ambaye pi
 
Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo .

Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo tunaishukuru serikali ya Malawi kwa kuwanusuru na vifo baada ya kuingilia kati kuwaokoa .

Askari_polisi_wa_wilayani_Ileje%2C_mkoani_Songwe_wametembezewa_kipigo_kutoka_kwa_raia_wa_Malaw...jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom