Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,181
- 2,080
Mkuu nimetumia cheti cha form six nimeitwa usaili wa kwanza.tayari ila kukaaa kwangu mtaani zaidi ya miaka mitatu kumenifanya nijue ufundi rangi japo sina cheti nishapiga kazi site za wachina na bado napiga huku nikifatilia hizi nafasi . vipi ukiwa na ujuzi kuna faida ya ziada huko mbeleniKama umeomba nafasi na una ujuzi kama ushonaji au ufundi wa vyombo vya moto,mtaalamu wa mambo ya maabara na uliambatisha vyeti vya ujuzi huo nafasi ya kuitwa kwenye usaili ni zaidi ya 70% hata kama umri wako ni zaidi ya waliouainisha jiandae.
Jeshi la sasa limebadirika siyo lile la zamani enzi zile unachukuliwa tu ila sasa hivi unaangaliwa utalifanyia nini Jeshi?
Mliosoma kozi zile za social science endeleeni tu na maisha mengine.