Search results

  1. 1x1

    SoC03 Upandaji miti mijini linda mazingira

    Utangulizi: Miji inakua kwa kasi katika nchi nyingi, na Tanzania haijaachwa nyuma. Huku miji ikikua, madhara ya mazingira yanazidi kuongezeka, na hii inahitaji mabadiliko ya haraka. Katika andiko hili, tutachunguza madhara ya mazingira yanayotokana na kukua kwa miji, jinsi upandaji miti...
  2. 1x1

    Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

    Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama smartphone pia unaweza kuchagua mapishi mbalimbali, kuweka muda wakujizima, kuchemsha maziwa bila...
  3. 1x1

    Uchaguzi 2020 Maoni ya Balozi Wright kuhusu Uchaguzi wa Tanzania

    Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania na Watanzania. Ilikuwa ni heshima kubwa sana katika maisha yangu, baada ya miaka mingi, kupewa...
  4. 1x1

    Nataka nitumie BAISIKELI badala ya Gari na Pikipiki

    Hery ya Mwaka mpya 2020. Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo 😢😢😢). Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI naomba mwenye kujua sehemu wanapo uza BAISIKELI nzuri weka bei na mawasiliano. hata kama ni USED.
Back
Top Bottom