Connection Jiko Janja la umeme bei nafuu zaidi ya majiko yote ni (Induction Cooker)

1x1

Member
Sep 2, 2019
17
45
Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama smartphone pia unaweza kuchagua mapishi mbalimbali, kuweka muda wakujizima, kuchemsha maziwa bila kumwagika, litumia uniti 1 (uniti moja ya umeme ni sawa ni shilingi za Kitanzania 360/=) Kupika kwa saa moja.Tuwasiliane 0718 908 337.

f73466c9-a3c8-4fc0-a59b-776c395efcd2.jpgLa plate moja 120,000/- waranti mwaka mmoja
05ae7759-bede-459d-87d5-8b64b7a072af.jpgPlate Mbili 250,000/= waranti miaka miwili
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
11,688
2,000
Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama smartphone pia unaweza kuchagua mapishi mbalimbali, kuweka muda wakujizima, kuchemsha maziwa bila kumwagika, litumia uniti 1 (uniti moja ya umeme ni sawa ni shilingi za Kitanzania 360/=) Kupika kwa saa moja
Bei?
 
1x1

Member
Sep 2, 2019
17
45
f73466c9-a3c8-4fc0-a59b-776c395efcd2.jpg

La plate moja 120,000/- waranti mwaka mmoja
05ae7759-bede-459d-87d5-8b64b7a072af.jpg

Plate Mbili 250,000/= waranti miaka miwili
 
Jul 6, 2019
17
45
Hili ni jiko la umeme na la kisasa ,ambalo ni fanisi, linatumia umeme kidogo SANA, linapika haraka mara mbili zaidi ya gesi na ni salama kutumia, ni JIKO JANJA kwa sababu ni la kutachi kama smartphone pia unaweza kuchagua mapishi mbalimbali, kuweka muda wakujizima, kuchemsha maziwa bila kumwagika, litumia uniti 1 (uniti moja ya umeme ni sawa ni shilingi za Kitanzania 360/=) Kupika kwa saa moja
Dah ilo jiko.....
 
Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
464
250
Ni jiko zuri ila linachagua sufuria

How does induction cooking work?​

Induction cooking heats a cooking vessel by electrical induction, instead of by thermal conduction from a flame, or an electrical heating element. The cooking vessel must be made of or contain a ferromagnetic metal such as cast iron or stainless steel. Heat is coming from within the pan, making this method of cooking a lot more efficient.

You therefore need to ensure that your pans are suitable to use on an induction hob. Copper or aluminium pans would not work unless they have additional layers added onto the bottom that are magnetic. The best way to check if your pans are viable is to see if a magnet will stick to the bottom of the pan!

An induction hob contains a coil of copper wire underneath the ceramic plate, and when a cooking pot is placed on top an alternating electric current is passed through it. The resulting oscillating magnetic field induces a magnetic flux, producing an eddy current in the ferrous pot, which acts like the secondary winding of a transformer.

The eddy current flowing through the resistance of the pot heats it. To find out what an eddy current is, see below. Energy transfer with induction hobs is around 84 percent compared to around 74 percent for gas or ceramic electric so there are good energy savings. Safety is an important aspect too – there is no naked flame so fire is extremely unlikely.

A pan of water will boil in nearly half the time that it would on a normal gas hob. An induction hob will also ensure the longevity of your pans because they have more contact with the heat below, and the current is running all the way through the pan. This will stop your pan from developing hot spots which in turn, will burn or scorch

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,923
2,000
Ni kweli lina ufanisi kuliko jiko la gesi? Ni kweli linaweza kuwa economical kuliko jiko la gesi?
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,923
2,000
kivitendo, linatumia unit 2 kwa lisaa ( kwa moto wa juu )
sehemu za umeme mdogo, haliwaki,
ni fanisi kuliko zile 'ordinary hot plate'
linahitaji masufuria yenye asili ya chuma ( ya aluminum sahau )
gesi inapika haraka kuliko hili

Hapo umeongea POINT mkuu. Kusema lina ufanisi kuliko gesi ni No No. Hili jiko linaondoa ile changamoto ya contact between plate na sufuria kwenye majiko ya umeme yale ya kawaida.

Ila matumizi ya umeme naweza kulinganisha na Heater ama jagi la umeme.
 
1x1

Member
Sep 2, 2019
17
45
Wachina wansema 1 year warranty ww unasema 2 years
Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi.
kivitendo, linatumia unit 2 kwa lisaa ( kwa moto wa juu )
sehemu za umeme mdogo, haliwaki,
ni fanisi kuliko zile 'ordinary hot plate'
linahitaji masufuria yenye asili ya chuma ( ya aluminum sahau )
gesi inapika haraka kuliko hili
Tumia muda wako kucheki video hapo chini
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
8,497
2,000
Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi.

Tumia muda wako kucheki video hapo chini
hiyo gas cooker ni ya njia moja, zilizo sokoni ni za njia 2
 
1x1

Member
Sep 2, 2019
17
45
Wachina wansema 1 year warranty ww unasema 2 years
Plate moja waranti ni mwaka mmoja na plate mbili ni miaka miwili unapewa na waranti kadi.
kivitendo, linatumia unit 2 kwa lisaa ( kwa moto wa juu )
sehemu za umeme mdogo, haliwaki,
ni fanisi kuliko zile 'ordinary hot plate'
linahitaji masufuria yenye asili ya chuma ( ya aluminum sahau )
gesi inapika haraka kul

Lazma tu yatakua na masufuria yake ambayo " #coefficient_of_thermal_cunductivity kwenye hayo masufuria inaruhusu kutumika kama alivyo eleza
Linatumia masuria yenye asili ya chuma (stainless steel) unaweza kununua popote lakini tunayauza pia.
Note sufuria za chuma ndiyo sufuria pendekezwa kiafya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom