Search results

  1. troiker

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini. Serikalini uozo umerudi, wabadhirifu wanaipora serikali, wananchi wamekosa imani na rais Samia...
  2. troiker

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya umma, matokeo yake mmekalia mipasho, eti watoto wa mujini, mnajidanya. Achieni vijana nafasi...
  3. troiker

    Mzee Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu Awamu ya Nne yupo wapi?

    Nilifuatilia kuagwa kwa mwili wa Hayati Edward Lowassa pale kalimjee hall sikuweza kumuona muheshimiwa Pinda na pale ndio ilikuwa sehemu sahihi ya viongozi mashuhuri na wastaafu kumuaga hayati Lowassa. Je, kulikoni mzee wangu Pinda? Anaejua alipo huyu mzee wetu atujuze
  4. troiker

    Anachofanyiwa Makonda kwa sasa ndicho alichofanyiwa Lowassa enzi za uhai wake

    Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa hatma ya mustakabali wao kisiasa,akionyesha kupata ushawishi na wafuasi wengi hutumia mbinu...
  5. troiker

    Kamati ya Bunge Kilimo, Uvuvi changamoto ni nyingi sana. Mawaziri Bashe na Ulega hamtoshi

    Nimesikiliza kamati ikitoa mapendekezo kwa maaana ya maazimio ya bunge hawa mawaziri hawamsaidii Rais Samia, changamoto ni nyingi sana ndani ya wizara zao kuliko successions. Wapigwe chini tupate watu wenye kasi zaidi na weledi, hawa kazi zao ni kusema mama anaupiga mwingi,iweje awe anaupiga...
  6. troiker

    Mwigulu unaowatuma mitandaoni kukusafisha unajidanganya, matendo yako yapo dhahiri kuhusu uchumi wa nchi hii, umeporomoka

    Naona nguvu kubwa inatumika kukusugua kwa dodoki, nikuhakikshie Wizara ya fedha imekushinda totally, usilazimishe, wewe kama mtunza hazina umeshindwa kufanyia kazi priorities za nchi. Imani yangu mamlaka hazitachelewa kutengua uteuzi wako. Nimechokoza mada
  7. troiker

    Nilimsikiliza Nazir Karamagi alipokaribishwa na Chongolo kutoa salamu, lugha aliyozungumza na moyo wake vinakataana

    Mzee huyu ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera wakati anatoa salamu zake pale kirumba pia aliongelea suala la uwekezaji wa bandari. Lakini maelezo yake kwa ujumla wa kuitakia serikali ufanisi ana machungu sana ya kutemeshwa tenda ile,tena sana tu. Alijibaraguza kupambapamba...
  8. troiker

    Sikubaliani na gharama tajwa za kukarabati Uwanja wa Mkapa Dar, ni wizi wa kalamu

    Serikali kupitia Waziri wa Michezo na Utamaduni, Pindi Chana, imetangaza kukarabati uwanja wa Mkapa Dar kwa Tsh. Billions 31. Hizi ni fedha nyingi sana kukarabati uwanja huo, sikubaliani na na gharama hizo. Hapa kuna upigaji wa fedha kupitia kalamu. Wajanja wanazo zao tayari walizojipangia...
  9. troiker

    Msaada tafadhali kuhusu Bima ya magari mtandaoni

    Kwa wale wenye uzoefu wa bima mitandaoni naomba msaada wa maelezo. Kuna gari ilikuwa gereji kwa muda imepona inahitajika bima (thirdy party), mlipaji hana fedha taslimu ya kulipia bima,anataka kulipia kwa instalments. Je, ni kiwango gani cha chini cha pesa angalau na aina ya insurance provider...
  10. troiker

    Kuna mstaafu mmoja wanajaribu kumpa majukwaa ili atengeneze mvuto lakini wapi, raia hawamuelewi hata kidogo

    Huyu mstaafu aliitumikia nchi akavurunda sana tu, taifa likatamalaki upigaji mkubwa wa raslimali za taifa. Karudi kwa mlango wa nyuma kujifanya Baba wa taifa kwa sasa, kila kukicha bimkubwa anaomba ushauri wa kupangiwa safu na nini cha kufanya, khatariii kwa taifa. Safu ya wahalifu imerudi kwa...
  11. troiker

    Sheria ya marekebisho ya TISS ilenge kuisaidia nchi na si vinginevyo

    Nchi au taifa kwa ujumla idara ya usalama wa taifa ni taasisi huru,kwa muijbu wa kuanzishwa kwake, duniani kokote. Japo siku na muda ulivyozidi kujongea taasisi hiii ilianza kuingiliwa na waansiasa hivyo kupoteza maana halisi,na hii sio nchini tu bali duniani kote,yakiwemo mataifa makubwa,kama...
  12. troiker

    Uzi maalumu wa faida na hasara za uraia pacha

    Kuna sintofahamu ya neema na hasara za uraia pacha,naomba tushirikishe mawazo,uelewa kwa anayejua faida tunazizikosa kama taifa kutokana na uraia pacha Kadhalika hasara zitokanazo na uraia pacha Note: michango yetu ijikite kwenye maeneo muhimu yafuatayo kuhusu uraia pa 1, uchumi 2,tamaduni...
  13. troiker

    Mwenye uelewa naomba msaada kuhusu barabara za mitaa

    Nipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 8, mita 6, na mita 4 Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza pishana? Swali (2) je, barabara yenye upana wa mita 6 inaweza kuwekewa rami na serikali ?
  14. troiker

    Hivi ni kweli ile Ikulu ya Dar Magogoni ulikuwa msikiti zama hizo?

    Anaeijua historia ya Ikulu ya Magogoni atusimulie, naambiwa ulikuwa msikiti, mzungu akapapenda akageuza makazi yake kisha kuwa Ikulu. Hili lina ukweli wowote? Naomba kujuzwa. Pia soma >> Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)
  15. troiker

    Luhaga Mpina shikilia hapo hapo, maagizo ya Waziri Mkuu yanapuuzwa na yeye yupo kimya, ushahidi upo

    Hili halina ubishi, waziri Mkuu maagizo yake mengi aliyoyatoa yanapuuzwa au yanatekelezwa kwa kiwango duni sana, tofauti ya Kassim Majaliwa wa hayati Magufuli na wa Samia ni mbingu na ardhi. Kuna ukimya sana wa Kassim Majaliwa, inaonekana anatembea na tone za aliyeko juu. Ni kama power ya prime...
  16. troiker

    Ansbert Ngurumo, Neville Meena, Jesse Kwayu, na Absalom Kibanda, mjue mpo kwenye binocular, hiyo ni shibe ya muda tu

    Hawa wahariri kwa sasa wanalamba asali haswa chini ya waziri wa habari na utangazaji Nape Nnauye, hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyefahamu jambo hili. Watu hawa wameuza utu wao kwa vipande vya dinali zitokanazo na kodi, tozo mbalimbali za Watanzania maskini. Kuna mambo ya kifisadi nchi...
  17. troiker

    Rais Samia inaweza kuwa unafanya makusudi au wasaidizi wako wanakupotosha. Wakulaumiwa ni wewe

    Tarehe 17/03/2023 ni siku ambayo familia ya hayati Magufuli itakuwa inaadhimisha miaka miwili ya kifo cha mpendwa wao, na kama kawaida mara nyingi familia hiyo hufanya tukio hilo hapo Chato. Tukio hilo hukutanisha familia ya hayati Magufuli na baadhi ya marafiki na jamaa walioamini katika...
  18. troiker

    Engine 3s ina ubora gani?

    Kuna gari Toyota vista nauziwa,mwenye gari ananiambia kwa majigambo ya kwamba engine ya hiyo gari ilisumbua akanunua engine mpya ya 3s. Je, hii engine inafaa kwa kiasi gani nimlipe pesa ya gari?
  19. troiker

    Kupinga hali ngumu ya maisha: Watanzania tunashindwa vipi na Wakenya?

    Wakenya hawakubaliani na hali ngumu ya kupanda kwa bei ya bidhaa hasa unga Watanzania ni hewala kwa kila jambo, hii ni aibu sana kwa taifa. Iko haja ya kupima akili ya watanzania kama ni timamu. Kila kukicha hakuna ukosoaji dhidi ya ughali wa maisha, ni mwendo wa mapambio kwa serikali...
  20. troiker

    Mshana Jr njoo unipe maarifa hapa kuhusu jambo langu

    Jirani yangu ana harusi hivi karibuni, kaambiwa ya kwamba kabla ya sherehe kuna haja ya kuzindika eneo la harusi dhidi ya wenye roho za fighi (wachawi), Hana pesa ya kulipa mganga, je kuna material gani anaweza tumia rahisi kuwadhibiti dhidi ya ujinga wao
Back
Top Bottom